nkungu mwere
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 258
- 336
Pengo Ndani Ikulu
Tupe na majibu basi aliyojibiwa huyu mchungajiMheshimiwa rais magufuli,demokrasia ni muhimu,watu wana hofu,hata kama huambiwi na watendaji wako,kama kazi baba unapiga kweli,wewe waache wazungumze maana WATANZANIA hawatachagua maneno bali watachagua kazi,WAPE UHURU WA KUSEMA,,,mwisho wa kumnukuu MCHUNGAJI MANGI LYIMO.(sijui kama ntakualika tena)
Sent using Jamii Forums mobile app
Lilisema nini hilo zeePengo Ndani Ikulu
Hakusema Lolote PengoLilisema nini hilo zee
Ukiona mtu anapenda kusikia anayopenda kuyasikia tu jua kuna tatizo mahaliHuyu ndiye kanena neno pale.
Wengine walikuwa wakipalilia bahasha.
Kwenye ukatoliki inawezekanaNimeshangaa Father Kitima kujishushia heshima,nilitegemea ataongea ukweli kaenda kusifia....AU SABABU JOHN MKATOLIKI MWENZETU?
Amewajibu kwa kusema demokrasia nchini ipo,lkn sio kuandamana,na mikutano hawajazuiwa bali wafanyie sehemu zao,(akimaanisha mbunge afanye siasa jimboni kwake tu)maana yake ni kuwa mwenyekiti wa chama taifa,katibu mkuu taifa,mwenezi wa chama taifa,kama sio wabunge basi hawaruhusiwi kufanya siasa.hiyo ndiyo demokrasia anayoamini mh rais
Muasi HuyoMpaka leo siamini. Hivì mkuu kilikupata nini mpaka uka change gia angani leo hii unaongea lugha moja na akina Lema na Mbowe?
Maendeleo hayana chamaMuasi Huyo
Polepole na Bashiru majimbo yao ni yepi?Amewajibu kwa kusema demokrasia nchini ipo,lkn sio kuandamana,na mikutano hawajazuiwa bali wafanyie sehemu zao,(akimaanisha mbunge afanye siasa jimboni kwake tu)maana yake ni kuwa mwenyekiti wa chama taifa,katibu mkuu taifa,mwenezi wa chama taifa,kama sio wabunge basi hawaruhusiwi kufanya siasa.hiyo ndiyo demokrasia anayoamini mh rais
Sent using Jamii Forums mobile app
sio wahaya tenaAsilimia Kubwa ya Wachaga wana IQ kubwa kuliko Watanzania walio wengi Ukweli mchungu!