mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,421
- 1,792
Tatizo ccm wali iba kura. Wamuulize Prof... Lipumba[/QUOT
UMEDANGANYWA HIVYO NA KWA AKILI YAKO FUPI UKAKUBALI MIAKA YOTE UTABAKI WAMEIBA KURA BADALA YA KUBORESHA SERA ZENU
Unaelewa kuwa kwa Sera hizo hizo za CUF mwaka 2005, CUF ilishinda uchaguzi wa Urais Zanzbar, na CCM pamoja na NEC wakabadilisha matokeo na kumpa Salimin Amour hali iliyo sababisha vurugu kubwa sana ZNZ.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!