HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,413
- 6,134
Mnamo mwezi wa 6 mwaka huu katika ibada ya Jumapili askofu wa kanisa la ufufuonauzima Josephat Gwajima alisema kuna watu wamejipanga kupinga Magufuli kupewa Uenyekiti.
vijana wa lumumba walipiga kelele alafu yule akatuma police wakazingira nyumba ya Askofu huyo na silaha nzito nzito kama wanapigana na Gaidi la kimataifa wakazusha tena wakidai askofu huyo katoroka nchi sasa leo tunayaona aliyosema tunataka sasa vijana wa lumumba mmubishie na Bulembo anayesema kuwa kunawatu wamejipanga kupinga Magufuli kupewa Uenyekiti waondoke sasa CCM mjifunze msikurupuke!