Aliyonambia baba padri kuhusiana na ndoa leo

Hahahaaaaa "Sitengui Kauli"! Kama vipi njoo ulingoni..uone mambo ya "enter the dragon, exit the Cobra"huha!

Point of correction mi ni Bornagain na wala sio hivo ulivoniita, niombe radhi mheshimiwa ndo uendelee kuchangia mjadala
 
Uwe mwangalifu na huyu baba padri wako. Bottom line ni kwamba wao pia ni binadamu wa kiume kama wanaume wengine. anaweza akageuza somo wakati wowote, na akaishia kumsingizia shetani

Ukishazaliwa zinaa iache kwenye kondo la nyuma ulilotoka ili ukutane nayo ukubwani unapobalehe. Ukiamua kuibeba kichwani madhara yake ndio haya ya kuwa na mawazo kama yako.

Ikiwa leo Padre aogopwe kwa kusema hivyo, kesho Ciello ataongea na baba yake mzazi juu ya suala hili hili, je na yeye utamwambia awe naye makini kwa kuwa baba yake naye ni binadamu?

Acha ujinga
 
Last edited by a moderator:

Papa mwenywe anakiri ma'baba padri' wanalawiti watoto kila kukicha halafu wewe unaandika mambo yasiyoeleweka hapa. ficha ujinga wako!
 
Hahahaaaaa "Sitengui Kauli"! Kama vipi njoo ulingoni..uone mambo ya "enter the dragon, exit the Cobra"huha!

Hahahaha naona sasa wewe humjui Bruce Lee, lakini hata hivo kwa kuwa umeamua kutofuta kauli yako hutahudhuria vipindi viwili vya bunge la mwezi wa pili mwakani
 
Back
Top Bottom