Picha: Kevin aliweka vipande vya nyama ya nguruwe katika mlango wa msikiti wa Jamia huko Totterdown, Uingereza.
Mtu aliyeweka nyama ya nguruwe katika mlango wa msikiti nchini Uingereza amefariki akihudumia kifungo cha miezi 12 jela.
Kevin Crehan alihukumiwa kifungo hicho katika mahakama ya Bristol Crown mnamo mwezi Julai kwa kuchochea machafuko ya umma.
Vipande vya nyama ya nguruwe viliwekwa katika mlango wa msikiti wa Jamia huko Totterdown, Uingereza.
Msemaji wa hudumu za jela hiyo amethibitisha kuwa Kevin mwenye umri wa miaka 35 alifariki siku ya Jumanne lakini akaongezea kuwa uchunguzi unaendelea.
Hakuna maelezo zaidi yaliotolewa.
Jela hiyo imekataa kutoa maelezo yoyote ya sababu ya kifo chake.
Chanzo: BBC
Nyama Tamu kuliko zote bado hujaijua mkuu...!!kwamba alienda kuwaringishia waislamu nyama tamu kuliko zote duniani..😀😀
UnajipendaMimi nina mpango wa kusukumia Nguruwe mzima Ijumaa moja
Ni vyema kuheshimu imani za watu. Mimi ni mkristo lakini kwa hili huyu bwana alivuka mpaka! Apumzike anapostahili.Nyama Tamu kuliko zote bado hujaijua mkuu...!!
[emoji23] [emoji23] exactly...albadiri hyo
Hapana ni tukio limetokea na mja amefariki akiwa kijana mdogo. Bado wenye mamlaka wanaendelea na uchunguzi. Tusubiri hiyo ripoti ndiyo itakayodadavua ukweli wa mauti yake.Kwahiyo mnataka kuhusisha kifo chake na kuweka kitimoto mwenye mlango Wa msikiti?
Mkuu ww ni member kwel wa isanga familyNyama Tamu kuliko zote bado hujaijua mkuu...!!
Isanga family ya mbeyaNi wa Isanga ya Dodoma au nyengine?