wilbard athanass
Member
- Feb 28, 2014
- 69
- 83
Hapana yule yupo uk kk
Wait.
Huyu ndiye yule aliyeandika kitabu cha kumsiliba Kagame au?
Wait.
Huyu ndiye yule aliyeandika kitabu cha kumsiliba Kagame au?
Hatari sana. Ndiyo maana Urafiki wa Tanzania na Rwanda naupinga kwa nguvu zote. Nyerere katuachia marafiki wa kutosha duniani ambao tunaweza kuiga mambo mazuri ya maendeleo kutoka kwao. Lakini huu urafiki na Rwanda sana tutakachoiga ni Mauaji, na ndiko tunakoelekea, si Mnashuhudia Musiba anavyochochea Kuni!
SA intelligence system are very weak. Hizi issue zinajirudia kwenye ardhi yao bila kutoa funzo lolote za ya ulalamishi kidiplomasia.SA wanakubalije ujasusi kama huu ufanyike ndani ya nchi yao? Au wametoa kibali kuruhusu operations hizo?
Kagame mwenyewe watoto wake wapo Marekani.Hawa wanatakiwa wakimbilie Marekani, huko.. Kisha tuone ubabe wa Kagame kama atathubutu kuwaua wapinzani kule.. South Africa nao ndo hawa hawa wamoja..
Kagame mwenyeww amesha watoroshea Marekani watoto wake.
Nakumbuka mwanajamii forum @zangambadume alileta kitabu kinachomuelezea Kagame na namna anavyowaua wapinzani wake sasa nazidi kumuelewaNi muendelezo wa kuwamaliza wapinzani na wapingaji wakubwa wa Kagame.
Malipizi haya ya kisiasa yana maslahi gani kwa taifa la Rwanda?
------------
Nkuruziza is the second-high profile person to be killed in South Africa after the killing of former intelligence boss Col. Patrick Karegeya in 2014.
Nkuruziza is the second-high profile person to be killed in South Africa after the killing of former intelligence boss Col. Patrick Karegeya in 2014.
President Paul Kagame’s former bodyguard has been assassinated by gunmen in Cape Town South Africa.
Camir Nkuruziza has been a critic of President Kagame, accusing him of intolerance to dissenting views.
Nkuruziza is the second-high profile person to be killed in South Africa after the killing of former intelligence boss Col. Patrick Karegeya in 2014.
Nkurunziza is remembered for starting a campaign, dubbed No 3rd term for Kagame, which was very popular among the opposition in Rwanda.
Former Rwandan army chief General Kayumba Nyamwasa has also survived two attempts on his life.
Camir Nkirunziza is a brother of Sergeant Innocent Karisa who is in prison in Rwanda after he was suspected of being a member of Rwanda National Congress, an opposition outfit.
Source: https://www.newvision.co.ug/new_vision/news/1501268/kagame-bodyguard-assassinated
Ulaya na marekani anashindwaThat's PK bwana hata uwe USA naamini anakuchomoa tu dunia iliyojaa wapenda pesa nini kinashindikana ilhali weusi wenyewe daily wanakula shaba huko
Asee, umenifanya nirudi nyuma kdg ,nimeona hata kifo cha RK nae ilikua kipindi cha mazishi ya Mzee Mandela km sijakoseaMbona inasemekana ni Flying squad ndio wamemuua ?
Unless ile inauguration ya Ramaphosa ,Kagame aliomba kichwa cha jamaa kama zawadi ya karamu yake kwa exchange wanayojua wao wenyewe
Hivyo ili kutoleta diplomatic chaos basi flying squad wakatumika ku excute mission .
Mambo ya mfumo na nchi Yana mambo mengiAsee, umenifanya nirudi nyuma kdg ,nimeona hata kifo cha RK nae ilikua kipindi cha mazishi ya Mzee Mandela km sijakosea
Hapana, yule yuko Uingereza/MarekaniWait.
Huyu ndiye yule aliyeandika kitabu cha kumsiliba Kagame au?
Ningekuwa ndugu na Lissu ningemshauri asirudi Tz kwakweli,, nna uhakika watamdhuru aisee,, maviongozi ya Africa ni mashetani baadhiHatari sana. Ndiyo maana Urafiki wa Tanzania na Rwanda naupinga kwa nguvu zote. Nyerere katuachia marafiki wa kutosha duniani ambao tunaweza kuiga mambo mazuri ya maendeleo kutoka kwao. Lakini huu urafiki na Rwanda sana tutakachoiga ni Mauaji, na ndiko tunakoelekea, si Mnashuhudia Musiba anavyochochea Kuni!
Wow! Am safe mshana jr. If yu want to live long in this game jus be a Mr Yes msee. And put your hands together for the big boss. I can assure yu, yu will live longTuyasome haya kwa tafakuri kuu na pana... Hatuyajui ya kesho.... Ukiona kwa jirani kunateketea jua kwako kunafuka moshi... Nobody is safe within this cycle