Aliyewahi kuwa mlinzi binafsi wa Kagame auawa Afrika Kusini

Ni itakua ni hatari tupu hakuna urafiki wa jambazi na mtu ambaye siye jambazi
Hatari sana. Ndiyo maana Urafiki wa Tanzania na Rwanda naupinga kwa nguvu zote. Nyerere katuachia marafiki wa kutosha duniani ambao tunaweza kuiga mambo mazuri ya maendeleo kutoka kwao. Lakini huu urafiki na Rwanda sana tutakachoiga ni Mauaji, na ndiko tunakoelekea, si Mnashuhudia Musiba anavyochochea Kuni!
 
That's PK bwana hata uwe USA naamini anakuchomoa tu dunia iliyojaa wapenda pesa nini kinashindikana ilhali weusi wenyewe daily wanakula shaba huko
 
Ndio nimemaliza leo kusoma kitabu cha Noble Marara, aliyekuwa mlinzi wa Kagame, sasa yupo exile UK. Hakika Kagame ni nyoka, lakini pia SA wanawalinda kwa namna fulani wauwaji wa Kagame wanatumwa kuua wapinzani nchini humo.

Nimeona hoja zake jinsi ambavyo polisi wa SA mpaka leo hawajafanya upelelezi mauaji ya Karegeya, cctv zimetolewa, yaani picha kama yaliyompata Lissu
 
Ni muendelezo wa kuwamaliza wapinzani na wapingaji wakubwa wa Kagame.

Malipizi haya ya kisiasa yana maslahi gani kwa taifa la Rwanda?

------------
Nkuruziza is the second-high profile person to be killed in South Africa after the killing of former intelligence boss Col. Patrick Karegeya in 2014.

Nkuruziza is the second-high profile person to be killed in South Africa after the killing of former intelligence boss Col. Patrick Karegeya in 2014.

President Paul Kagame’s former bodyguard has been assassinated by gunmen in Cape Town South Africa.

Camir Nkuruziza has been a critic of President Kagame, accusing him of intolerance to dissenting views.

Nkuruziza is the second-high profile person to be killed in South Africa after the killing of former intelligence boss Col. Patrick Karegeya in 2014.

Nkurunziza is remembered for starting a campaign, dubbed No 3rd term for Kagame, which was very popular among the opposition in Rwanda.

Former Rwandan army chief General Kayumba Nyamwasa has also survived two attempts on his life.

Camir Nkirunziza is a brother of Sergeant Innocent Karisa who is in prison in Rwanda after he was suspected of being a member of Rwanda National Congress, an opposition outfit.

Source: https://www.newvision.co.ug/new_vision/news/1501268/kagame-bodyguard-assassinated
Nakumbuka mwanajamii forum @zangambadume alileta kitabu kinachomuelezea Kagame na namna anavyowaua wapinzani wake sasa nazidi kumuelewa
 
Mbona inasemekana ni Flying squad ndio wamemuua ?

Unless ile inauguration ya Ramaphosa ,Kagame aliomba kichwa cha jamaa kama zawadi ya karamu yake kwa exchange wanayojua wao wenyewe

Hivyo ili kutoleta diplomatic chaos basi flying squad wakatumika ku excute mission .
Asee, umenifanya nirudi nyuma kdg ,nimeona hata kifo cha RK nae ilikua kipindi cha mazishi ya Mzee Mandela km sijakosea
 
Asee, umenifanya nirudi nyuma kdg ,nimeona hata kifo cha RK nae ilikua kipindi cha mazishi ya Mzee Mandela km sijakosea
Mambo ya mfumo na nchi Yana mambo mengi
Unaweza Ona we uko safe nchi fulani kumbe nchi mbili zinakubaliana wao kwa wao ili wakuangamize vp?
Mambo ya mfumo huooo

Ova
 
Na sisi tumeanza kuiga style yake, nionyeshe rafiki yako nikueleze tabia yako!
 
Hatari sana. Ndiyo maana Urafiki wa Tanzania na Rwanda naupinga kwa nguvu zote. Nyerere katuachia marafiki wa kutosha duniani ambao tunaweza kuiga mambo mazuri ya maendeleo kutoka kwao. Lakini huu urafiki na Rwanda sana tutakachoiga ni Mauaji, na ndiko tunakoelekea, si Mnashuhudia Musiba anavyochochea Kuni!
Ningekuwa ndugu na Lissu ningemshauri asirudi Tz kwakweli,, nna uhakika watamdhuru aisee,, maviongozi ya Africa ni mashetani baadhi
 
Tuyasome haya kwa tafakuri kuu na pana... Hatuyajui ya kesho.... Ukiona kwa jirani kunateketea jua kwako kunafuka moshi... Nobody is safe within this cycle
Wow! Am safe mshana jr. If yu want to live long in this game jus be a Mr Yes msee. And put your hands together for the big boss. I can assure yu, yu will live long
 
Back
Top Bottom