Aliyetupa Macho asiweze kuona?

kwani aliyetupa masikio asiweze kusikia kilio na maombi yetu na dua kweli ? Aliyetupa macho mnafikiri haoni ? Aliyetupa akili na fikra asiweze kuwaza juu ya mambo haya ?
Ni kama wewe ulivyo mpiga tofari, Mwigamba kwa kushindwa tofauti zenu za kisiasa, hivi Mungu amesikiliza kilio cha Mwigamba, na unapata malipo yako duniani hapa hapa
 
Nijuacho mimi..mlichotuaminisha at that time ndicho tunachokiona leo toka kwa uongozi wa sasa,hivyo basi mnapokuja na lawama zingine juu ya serekali tuliyonayo binafsi nakushangaeni na siku hizi hata siwasikilizi tena japo leo nimejikuta nasoma hiki kilichopo hapa
 
amevunja sheria ipi?

kama ni swala la kuripiti mahakamani, si mdhamini na wakiri aliripoti?
 
I wish ningekuwa japo nusu kama wewe.
Hakuna linaloshindikana.. Ondoa uoga / hakuna kukata tamaa. Keep it up!

Madamee [emoji126] [emoji126] nae yupo mbali sasa ktk mabadiliko ya kifikra!
 
Mzee yuko vijijini jamaa ndo kaweka mizizi kwanza watakuuliza mwenyenyumba kafanya nini mpaka unatuambia tusimchague maake hawaoni kosa lake na kama no kosa ndo tunaanza kulisikia kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…