Aliyetumbuliwa huyu huku analima...!

Aliyetumbuliwa huyu huku analima...!

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,180
Reaction score
24,798
Ukiyataka mali utayapata shambani...
Screenshot_20180702-145947.jpg
 
Safi sana!
Mola amjalie maisha ya Amani milele yote!
 
Mwanga wa milele umwangazie eeeeh bwana. ................
 
Safi sana. Ni msomi asitishike na vyeo vya kuteuliwa
 
Jamani tukumbuke Comred Nchemba ni mwenzetu humu,japo msiba wa kujitakia hauna matanga lakini tusimtupe kabisa tumpe moyo asonge mbere asije ingia kwenye mtego wao tukamkosa.Tumwambie ukweli ila ukweli huo tusigeuze kuwa dhihaka haita badili kitu walau kwa sasa
 
Back
Top Bottom