Aliyetumbuliwa huyu huku analima...!

Aliyetumbuliwa huyu huku analima...!

MZURURAJI HUYO KUTWA KIGUU NA NJIA OFISINI HAKAI YUPO BUSY NA SINGIDA UNITED
Ukikaa ofisini unaambiwa hufanyi kazi, ukienda FIELD kutatua kero unaambiwa UNAZURULA hahahahahahaha

- JAFO jiandae UNAZURULA saaaaaana
 
Jamani tukumbuke Comred Nchemba ni mwenzetu humu,japo msiba wa kujitakia hauna matanga lakini tusimtupe kabisa tumpe moyo asonge mbere asije ingia kwenye mtego wao tukamkosa.Tumwambie ukweli ila ukweli huo tusigeuze kuwa dhihaka haita badili kitu walau kwa sasa
Kweli kabisa
Msiba hauzoeleki
 
Back
Top Bottom