Aliyetaka kumuua Ponda !

who is ponda bwana? kafanya jipi jema kwa inji hii , kama unampenda mshauri aache ayafanyayo
 

we naye vp unalazimisha wawepo magaidi wakristo hata kama hawapo? Chunga ufia dini utawamalza nyie watz!!
 
We una chuki binafsi na huyo askari uliyemtaja,weka ushaidi jamvini sio unakuru
 
We una chuki binafsi na huyo askari uliyemtaja,weka ushaidi jamvini sio unakurupuka tu
 

mbona huyo ni mtu mdogo sana , tunataka aliyetoa amri ya "wapigeni tena nasema wapigeni sana"
 
'habari yako mbona imekaa kiuwepesi wepesi hivi haina source haina hata picha basi ya huyo askari na ndugu zake pia hakuna ndugu...'

Inawezekna wanagombea kitu kingine, kaja kumwanika JF kwa kisingizio cha Ponda
 

hili ni tatizo kwa bavicha wote kuweka siasa kwa kila kitu.
Umbea huuu sijui utawapeleka wapi.
 
huyo askari hakuwa feki? maana siku hizi ukimuona askari kwanza ujiulize ni halisi au feki?
 
Ponda kitu gani? Hata hana faida au umuhimu kwa taifa letu.gaid hayo ndiyo malpo yake bado arobain yake huyo mpuuz aliyejificha kwenye kivuli cha din ya haki kinadharia.islam means peace
 
WaTZ wanashangaza sana yani ikitokea issue za waislam baadhi tena wachache sana wakristu bila tafiti wanaona ni haki kabisaa Ponda kutendewa aliyotendewa! Lakini itakapo anza kwa wachungaji,mapadri kupigwa na polisi ndo mtaelewa Polisi walikosea sana! Na ikumbukwe hii nchi sio ya dini fulani na itakapo fikia watu kuchoka ndo mtaelewa nini maana ya vita ya udini! Lazima tuungane kwa Pamoja na kuona Polis walikosea sana na ndo maana ata aliefanya hivyo kwa sasa ANAJUTA..UGUA POLE MWANAHARAKATI
 
. una uhakika gani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…