Aliyesoma pcb anaweza soma computer science

Nimepitia mkuu ila naona wanabase kwenye physics na hesabu
Hizi bongo za hovyo kabisa. Yaani umeshindwa kupata ufafanuzi kwenye tcu guidebook then unakuja kurukaruka kwa watu?

Bure kabisa
 
COMPUTER SCIENCE KWA UDSM NA UDOM LAZIMA UWE UMESOMA HESABU ADVANCE ,ILA KWA VYUO VINGNE WENYEWE HAWAHITAJI HIVYO VITU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…