Aliyesoma pcb anaweza soma computer science

Bittah

Senior Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
135
Reaction score
37
Msaada ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza
 
Kuna kijana wetu alisoma PCB na wakati ule wa CAS ya TCU alijikuta kapangiwa ICT IFM. Nimecheck IFM wanasema mahitaji yao ni:
Degree: Bachelor of Science in Information Technology Course code: IF003 Kigezo: Any two principal passes in science subjects. Those without a principal pass or subsidiary pass in Mathematics must have a credit at O level. Unatakiwa uwe na point 4 kutoka masomo mawili. Computer science wanahitaji
"Two principal passes in Physics and Mathematics."

 
Olevel nilipata C ya hesabu ata bam Nina S mkuu Nina two ya 12 naweza pata udom udsm au mzumbe?
 
Pia nikimaliza naweza kujiajiri mkuu?
 
Daaah sa me nimesoma PCB mkuu inakuwje?
 
Olevel nilipata C ya hesabu ata bam Nina S mkuu Nina two ya 12 naweza pata udom udsm au mzumbe?
Mkuu nikushauri upitie TCU admission guide book ya 2018 mahitaji yote ya kila chuo yameelezwa mle.
 
Mkuu nikushauri upitie TCU admission guide book ya 2018 mahitaji yote ya kila chuo yameelezwa mle.
Nimepitia mkuu ila naona wanabase kwenye physics na hesabu
 
Daaah sa me nimesoma PCB mkuu inakuwje?
ICT unaweza kupata kwa mfano IFM lakini COMPUTER SCIENCE wengi wnataka principal ya hisabati ndio maana nakushuri upitie guide book ili uone kila chuo kinahitaji nini ndio ujipime na kufanya maamuzi.
 
Bora ww umeonyesha unapenda kujiajiri, kozi yeyote ya kompyuta kama utangoja ajira utaumia, usisome kisa una two soma lwa sababu unapenda/ una passion ya kompyuta.
Naweza pata kwa vyuo kama udom udsm na mzumbe?
 
Wadau procedures namna ya ku apply chuo tcu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…