Aliyeshindwa ubunge kuvunja chungu

Huu si uchawi ni aina ya mitambiko ya jamii ya kimaasai kama umefanya jambo baya labda umeua haujaonekana au hakuna ushahidi wa kukutia hatiani.Wazee wa kimila jamii ya kimaasai Malaigwanani wataitisha mkutano na kutangaza nia ya kuvunja Chungu sababu itawekwa wazi,waliohusika watatakiwa kujitokeza na kurejesha kitu kilichoibiwa labda ni Mbuzi au Kuku.Chungu hakivunjwi bila kutangaza hilo ni sharti la kwanza kabisa.

Mfano nimewahi kuona matangazo ya kusudio la kuvunja Chungu likiwa limepata baraka za Mwenyekiti wa Kitongoji na kubandikwa sehemu mbali mbali ili wahusika walisome na ikiwezekana wajitathimini na pengine waombe msamahaa kwa mujibu wa mila au itakavyoamuliwa na muathirika wa sakata hilo.

Tukirejea kwa mgombea XYZ sijamtaja jina mpaka sasa kwakuwa hili jambo ni nyeti sana ,kama umekula fedha zake na umempigia kura hapo hakuna madhara kabisa shida ni iwapo umekula fedha zake kura ukampigia mtu mwingine au haukwenda kupiga kura kabisa.

Kama ni hivyo hii itawazuru wamasai tu lakini watu wamataifa hawatazulika. Imagine XYZ angekuwa Lowassa na hicho chungu kiwe na uwezo wa kuzulu mtu yeyote haijalishi kabila gani. CCM wangebaki wangapi?
 
Hiyo itakuwa ni Arusha ndiyo wana kawaida ya kuvunja vyungu na avunje tu maana kulikuwa hakuna namna nyingine bali kupigwa tu
 
Haijalishi kabila kama wewe ni sehemu ya msababisha madhara kinakufuata.Hii ya Lowassa ni shida kidogo kwasababu kuvunja Chungu kuna miiko yake si suala la kukurupuka.

Kama ni hivyo hii itawazuru wamasai tu lakini watu wamataifa hawatazulika. Imagine XYZ angekuwa Lowassa na hicho chungu kiwe na uwezo wa kuzulu mtu yeyote haijalishi kabila gani. CCM wangebaki wangapi?
 
Tatizo ni kwamba yeye amewagawia watu unga badala ya kuwagawia na mboga. Alidhani watu ni nyoka wanaokula unga mkavu bila mboga? Next time atakuwa amejifunza kitu

Dah.. Umenifanya nicheke sana mkuu, Humu kuna raha sana kiukweli.
 
Mkipewa na mboga mtadai sufuria,gesi ya kupika,vijiko na sahani za kupakulia wanadamu hawana jema.

Tatizo ni kwamba yeye amewagawia watu unga badala ya kuwagawia na mboga. Alidhani watu ni nyoka wanaokula unga mkavu bila mboga? Next time atakuwa amejifunza kitu
 
Nasema AVUNJE TU HAKUNA NAMNA maanake unga ushakulwa, kuramisha pigwa, mh mbunge anangojea tu kuapishwa, sasa hii tishia ya nini wakati anajua kuwa hakuna tena kurudia mahesabu? Mkurugenzi ilibidi amtangaze huyo mshindi.
Kama vipi amwangamize mpinzani aliyewaloga wapiga kura, badala ya kuiona picha ya XYZ Wakaiona ni ile ya ABC. Apoe tu, angojee kesho kutwa 2020 awatishie wapiga kura. Wala hatatoa tena unga mwingi kwani matumbo yatakumbushwa yalichokula juzi kati tu. 2020 si mbali sana aache hasira na mori
 
Hata PRETA lazima hicho chungu kimpate!

Oooh.......kikombe hiki kiniepuke........hivi chungu kikishavunjwa wewe kwako kinakuwaje..........?.......nilisikia unaanza kuoza miguu kuja juu......
 
Rushwa ni Audi wa haki tuikatae kwa nguvu zote. Usikubali kupoteza haki yako kwa sababu ya fedha na chakula.

Lakini kawaida ya rushwa si ukishaipokea ufuate matakwa ya mtoaji........sisi tulikula na hatukumpigia kura........sasa hapo rushwa ipo wapi.............?.........muache uonevu jamani............
 
Ogopa unga wa ugali ulitolewa bure kila mtaa hadi bodaboda akienda kwa mama lishe anaenda na unga yeye analipia mboga tu anasubmit unga kwa mama lishe.
 
Mbona hata mwezi wa ramadhan watu huwa wanasema wanavunja JUNGU!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom