Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,454 Reaction score 38,169 Dec 18, 2015 Thread starter #101 WanaArusha tuwe na utaratibu wa kujuliana hali tusije kutoweka kimya kimya.
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,454 Reaction score 38,169 Dec 22, 2015 Thread starter #102 Taarifa zinadai wazee wa heshima wamekwenda kumwomba Mgombea XYZ asivunje chungu kwani madhara yake yanaweza kuwa makubwa kuliko faida alizotarajia.
Taarifa zinadai wazee wa heshima wamekwenda kumwomba Mgombea XYZ asivunje chungu kwani madhara yake yanaweza kuwa makubwa kuliko faida alizotarajia.