Aliyeshindwa ubunge kuvunja chungu

Aliyeshindwa ubunge kuvunja chungu

Unatufanya Mambumbumbu siyo? Unamsema Lowassa halafu unajifanya kusema mgombea ubunge?
 
mbona unatuficha ni wapi huko.
kama ni arusha alikosea angewachinjia mbuzi na pombe wangempa kura lakini hela ya maendeleo hawajui zaidi ya pombe
Anamsema Mgombea urais, lakini anajifanya kusema ni mgombea Ubunge
 
Aliwapa wangapi? Kama aliwapa watu 2,000 na aliyeshinda akapata kura 60,000 alitegemea hizo kura 2000 ziumuke kwenye mabox...basi ngoja tusubiri tuone crew ikipukutika...pasua Baba! Pasuaaa...jipu!..aah samahan pasua chungu!
 
Kuvunja Chungu ni Ibada ya matambiko ya kimila ya jamii nyingi za kiAfrika zikilenga kutanzua tatizo au kulipiza kisasi bada ya kufanywa jambo/mambo ya uonevu.

Sasa kama kura hazikutosha chungu kitahukumu vipi hapo?. Binafsi siamini katika mambo kama hayo, akavunje tu hata vyungu mia...
 
Idadi ya watu waliopata mgao wa unga na fedha taslimu hailingani na kura alizopata.

Sasa kama kura hazikutosha chungu kitahukumu vipi hapo?. Binafsi siamini katika mambo kama hayo, akavunje tu hata vyungu mia...
 
Aliwapa wangapi? Kama aliwapa watu 2,000 na aliyeshinda akapata kura 60,000 alitegemea hizo kura 2000 ziumuke kwenye mabox...basi ngoja tusubiri tuone crew ikipukutika...pasua Baba! Pasuaaa...jipu!..aah samahan pasua chungu!

Mkuu nimekupata lakini inawezekana alikuwa anategemea lile bao la mkono,ci unawajua na uliona walivyo tuumiza katika uraisi?.
 
Idadi ya watu waliopata mgao wa unga na fedha taslimu hailingani na kura alizopata.

Duh!, kumbe alipiga na hesabu kabisa?Basi huyu alikuwa na lake jambo, watu wote hao uwahonge kisa Ubunge!!!!? Alitaka kweli kwenda kuwatumikia wananchi?

Hivi hakuviona hata vituo vya kulelea watoto yatima?
 
Bao la mkono Arusha wajanja wengi.

Mkuu nimekupata lakini inawezekana alikuwa anategemea lile bao la mkono,ci unawajua na uliona walivyo tuumiza katika uraisi?.
 
Mkuu nimekupata lakini inawezekana alikuwa anategemea lile bao la mkono,ci unawajua na uliona walivyo tuumiza katika uraisi?.

Kwa wajanja utaliwa tu....utamshinda mwerevu kweli?
 
Wachaga/watu wa Arusha huwawezi, mlimuweza tu Yule wa geita ila wachaga wenyewe ni ma mafia

yule wa geita hawezi kwenda peke yake lazima asindikizwe ila sio sasa hivi mapema. Anamsubiri msindikizaji na huyo msindikizaji si unamjua kuna mda alikuwa ashaanza kukojolea mpira? Stay tuned
 
Hawezi vunja anatisha kwani kuna nyama ya hongo iliyopikwa na yeye akala na anakumbuka vizuri sana
 
Monabani aligawa unga bila mboga wamama wakamwambia pita hvvvvvvv
 
Preta atusaidie akupata kiroba cha unga kweli maana nasikia wamama ndio waliwezeshwa zaidi.Mungu apendi rushwa hivyo akivunja hiyo chungu inaweza mrudia yeye,bora apoe na kuanza maisha upya,hila mbona nasikia huyo XYZ alienda kufungua kesi ya kupinga matokeo inasememekana kuna gari ilikuwa na kura ikatoroshwa fasta maajabu haya zuga zuga tu hiyo,imekula kwakee kwisha kwisha kwisha kabisa.

Preta hebu njoo huku utoe maelezo!
 
Last edited by a moderator:
Monaban ametoa chozi, walimuhakikishia yeye aongee vizuri na watu, Lodi Lofa anakuja kumalizia kwa mkono, jumapili ucku wamekesha ccm mkoa wanaimba ccm mbele kwa mbele, wakijua ya Kwa Kafulila yanatokea Arusha maana Lodi Lofa alisema Atatangazwa Monaban haijalishi kapata kura ngapi, alipo ona sura za watu wa chuga na walivyojazana pale njiro ucku wa manane kulinda kura Lodi lofa aliondoka bila kuaga Monabana kusikia lema katanfazwa chozi likadondoka hamuoni lodi lofa wa mzee wa bao la mkono, hasira anamalizia kwenye vyungu, imekula kwake mpaka mwanae amekula hela ya babake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom