Aliyeruhusu kuwekwa Makontena kwenye njia ya maji pale Round about ya Gerezani akamatwe haraka

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,691
218,201
Leo wakazi wa Keko Magurumbasi , Keko Mwanga , Keko Machungwa na wale wanaoishi nyuma ya Gereza la Keko , wanaishi juu ya paa za nyumba kwa sababu ya njaa na tamaa ya kikundi kidogo chenye mamlaka na kuruhusu jambo la kijinga sana la kuzuia maji yote ya mvua kupita mahali pake .

Kikundi hiki kikamatwe kikajibu mahakamani kuhusiana na hili .

Poleni wakazi wa Keko , Mvua ndio kwanza zinaanza
 
Weka picha uaminike!
 
Kikundi kikamatwe!? Ni swala la mipango miji...siku zote mmelala manasubiri mafuriko....hakuna mji wa hovyo kama dar...na pale jangwani nani kaweka makontena....mipango mibovu...miundombinu zero...brain zero...!!
 
Mbona wanasema aliyesimamia ujenzi wa ofisi za Mabasi ya mwendokasi kishafungwa ?
 
Leo wakazi wa Keko Magurumbasi , Keko Mwanga , Keko Machungwa na wale wanaoishi nyuma ya Gereza la Keko , wanaishi juu ya paa za nyumba kwa sababu ya njaa na tamaa ya kikundi kidogo chenye mamlaka na kuruhusu jambo la kijinga sana la kuzuia maji yote ya mvua kupita mahali pake .

Kikundi hiki kikamatwe kikajibu mahakamani kuhusiana na hili .

Poleni wakazi wa Keko , Mvua ndio kwanza zinaanza
La msingi ni kuwapa pole lkn kusema watamkamata hiyo ni ngumu
 
Kiongozi naona hasira imewakaaa. Ila haya mambo ya ujanjaujanja yanaudhi sana
 
Back
Top Bottom