Aliyepita alituambia foleni ni ishara ya maisha bora, huyu anatuambia bombadia ni ishara ya mapato kuongezeka

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Wanabodi,,

Mwalimu, alijenga hoja, alifafanua na kufundisha, hakuwa na mipasho na ushabiki wa vyama vya siasa.

Uzalendo ni kuipenda nchi yako, na hiyo haimaanishi kuipenda serikali. Serikali sio nchi. Serikali ni kikundi cha watu wenye nguvu ya kuwaletea wananchi maendeleo au umasikini, kutegemea na utashi na/au malengo ya kikundi hiko. Na usisahau, viongozi wa kisiasa na nguo za ndani wanapaswa kubadilishwa Mara kwa mara, kwa sababu zinazofanana.

KatiKa Vitu Ambavyo Magufuli Amepungukiwa Ni Kushindwa Kujizuia Kusema Anachofikiri Ni Sahihi Kwakuwa Kama Binadamu Sio Wakati Wote Atakua Sahihi

Kuweka Akiba Ya Maneno Ni Sifa Muhimu Sana Kwa Kiongozi Ambaye Ni Mkuu Wa Nchi, Rais Wa Nchi Hapaswi Hata Kuhisiwa Kuwa Na Sifa Ya UROPOKAJI

Tunaweza kutofautiana sera na itikadi, lakini mambo ya msingi kama uzalendo na kuulinda uhai wa watanzania ni lazima.

Kwamba maendeleo hayana chama, wakati watendaji wa serikali wamefungamana na CCM na mipasho ya CCM inaendelea ni kupotosha.

Aliyepita Alituambia Foleni Ni Ishara Ya Maisha Bora, Huyu Anatuambia Bombadia Ni Ishara Ya Mapato Kuongezeka, Hivi Tulimkosea Nini Mungu?

Rejea hapa kauli ya Kikwete; Foleni za magari ni maisha bora - Kikwete

mr mkiki.
 
Wanabodi,,

Mwalimu, alijenga hoja, alifafanua na kufundisha, hakuwa na mipasho na ushabiki wa vyama vya siasa.

Uzalendo ni kuipenda nchi yako, na hiyo haimaanishi kuipenda serikali. Serikali sio nchi. Serikali ni kikundi cha watu wenye nguvu ya kuwaletea wananchi maendeleo au umasikini, kutegemea na utashi na/au malengo ya kikundi hiko. Na usisahau, viongozi wa kisiasa na nguo za ndani wanapaswa kubadilishwa Mara kwa mara, kwa sababu zinazofanana.

KatiKa Vitu Ambavyo JPM Amepungukiwa Ni Kushindwa Kujizuia Kusema Anachofikiri Ni Sahihi Kwakuwa Kama Binadamu Sio Wakati Wote Atakua Sahihi

Kuweka Akiba Ya Maneno Ni Sifa Muhimu Sana Kwa Kiongozi Ambaye Ni Mkuu Wa Nchi, Rais Wa Nchi Hapaswi Hata Kuhisiwa Kuwa Na Sifa Ya UROPOKAJI

Tunaweza kutofautiana sera na itikadi, lakini mambo ya msingi kama uzalendo na kuulinda uhai wa watanzania ni lazima.

Kwamba maendeleo hayana chama, wakati watendaji wa serikali wamefungamana na CCM na mipasho ya CCM inaendelea ni kupotosha.

Aliyepita Alituambia Foleni Ni Ishara Ya Maisha Bora, Huyu Anatuambia Bombadia Ni Ishara Ya Mapato Kuongezeka, Hivi Tulimkosea Nini Mungu?

mr mkiki.
Pambana na hali yako
 
KatiKa Vitu Ambavyo JPM Amepungukiwa Ni Kushindwa Kujizuia Kusema Anachofikiri Ni Sahihi Kwakuwa Kama Binadamu Sio Wakati Wote Atakua Sahihi
Mkuu ni vigumu mtu kuacha asili yake hasa katika umri wa utu uzima kule mzee alipokulia ni mchanganyiko wa wahaya na wasukuma wote hulka zao zinafanana za kuhitaji kupewa sifa hata pasipo sitahili na kujiona bora na kujua kuliko wengine.
 
Kuwatangaza ambao hawakushinda, ni tatizo tume kuwa chini ya serikali inayopambana kurudi madarakani. Katiba mpya ni dawa
 
KatiKa Vitu Ambavyo JPM Amepungukiwa Ni Kushindwa Kujizuia Kusema Anachofikiri Ni Sahihi Kwakuwa Kama Binadamu Sio Wakati Wote Atakua Sahihi
Mkuu ni vigumu mtu kuacha asili yake hasa katika umri wa utu uzima kule mzee alipokulia ni mchanganyiko wa wahaya na wasukuma wote hulka zao zinafanana za kuhitaji kupewa sifa hata pasipo sitahili na kujiona bora na kujua kuliko wengine.
Ni kweli
 
MI nafikiri angejaribu japo kuwasikiliza watu maana yeye ni kiongozi wa watu na sio majengo ya serikali.

Wananchi unaoshindwa kuwasikiliza alaf ikifika mda unaenda kuwaomba kura tena kiunyenyekevu
 
Back
Top Bottom