Aliyepewa viatu vya Ruge "Jasiri Muongoza Njia" vinampwaya

Wapeni muda kwanza CMG ni mapema sana kuzungumzia XXL kwa sasa? Muda utaongea na tujua ukubwa wa dozen nje ya Clouds kama anajiweza na yeye.
 
Wapeni muda kwanza CMG ni mapema sana kuzungumzia XXL kwa sasa? Muda utaongea na tujua ukubwa wa dozen nje ya Clouds kama anajiweza na yeye.
I second u... Tuwape muda...and by the way haya mambo huwa yanatokeaa mtu hawezi kukaa mahali milele.. yeye sio wa kwanza kuhama clouds!

Alafu asilimia kubwa waliohama wakaenda huko nje waliyumba kinomanomaa..
 
Kuhamia sehemu mpya kuna changamoto zake kuna kale kakauli kanasema "mazoea yanatabu" ndio hufelisha sana watu.
 
Kaondoka na Nyota yake ...kusaga alikua anatumia nyota ya Ruge
Itaendelea kujidhihirisha ni kiasi gani alikuwa muhimu ktk kuikuza taasisi, kuna mengi sana yanaendelea ukificha moto moshi utakuumbua
 
Nafasi ya Twangwala inazibwa na Remedy kama hakuwepo..ameenda kuolewa na bae wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom