Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,398
- 5,001
Faiza foxShule ulienda somea ujinga
Faiza foxShule ulienda somea ujinga
Sheria ya elimu inakataza mtu kuoa mwanafunzi wa shule ya msingi na sekondari (school candidate) bila kujali kama amevuka miaka 18. Kosa linakua kufanya mapenzi au kuishi kinyumba na mwanafunzi, sio na mtoto.sijaelewa, wanamkamata muoaji kwa kosa gani? she is 19, kwani umri unaoruhusiwa kisheria kuolewa/kuoa tanzagiza ni kuanzia miaka mingapi? nielewavyo ni 18, kama amevuka 18 siyo mtoto tena na wala hahitaji ruhusa ya mtu kuoa/olewa ....
Sheria ya elimu inakataza mtu kuoa mwanafunzi wa shule ya msingi na sekondari (school candidate) bila kujali kama amevuka miaka 18. Kosa linakua kufanya mapenzi au kuishi kinyumba na mwanafunzi, sio na mtoto.