MdengestanfromCuba
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 667
- 743
sina uhusiano nae wowote, ni habari tuHuyo kijana Ni nani yako
Anakuwa amefaidi kote koteHuwa inatokea hio hali labda Tanzania hatujawahi tu kuripotiwa,lakini huko Dominicani Republic na Uturuki watoto huzaliwa wakike na wakifika umri wa kubahele hubadilika kuwa wa kiume na kuendelea na maisha ya kiumeni
[emoji3]Ndio hivyo aiseeAnakuwa amefaidi kote kote
Sasa kama huna uhusiano naye muhusika alikutuma uirushe kwenye kadamnasi? Ingekuwa ni wewe unatangazwa habari zako ungejisikiaje?sina uhusiano nae wowote, ni habari tu
SOURCE EA RadioSasa kama huna uhusiano naye muhusika alikutuma uirushe kwenye kadamnasi? Ingekuwa ni wewe unatangazwa habari zako ungejisikiaje?
... japo zote ni changamoto za maisha ila bora mwanamke kujaliwa maumbile ya kiume kuliko mwanaume kugeuka mwanamke aisee!View attachment 1923243
Kijana wa miaka 19 mkazi wa Bukoba, aliyezaliwa na jinsi ya kike na baadaye kuota sehemu za siri za kiume zilizopelekea sehemu za kike kuzibwa, anaomba msaada wa fedha aende nje ya nchi kuongezwa ukubwa wa maumbile ya kiume, yatakayomwezesha kufanya tendo la ndoa na kuzaa watoto.
Kijana huyo ambaye jina lake limehifadhiwa kwa sasa anavaa mavazi ya kiume na kutumia majina ya kiume aliyoyapata baada ya kula kiapo mahakamani baada ya kukana majina yake ya kike aliyopewa awali mara baada ya kuzaliwa, majina ambayo aliyatumia kuanzia darasa la kwanza hadi la saba, na kusema anatamani kuoa na kupata watoto.
Mpigie ama tuma mchango wako kupitia namba 0765 135 480 jina ni MAFANIKIO ADELICK KARITUS
Video ya mahojiano yake na EA Radio:
(Source: EA Radio)
=============
UKISIKIA MAAJABU YA UUMBAJI NDIO HAYO SASA
Hermaphrodite?! sio?Huwa inatokea hio hali labda Tanzania hatujawahi tu kuripotiwa,lakini huko Dominicani Republic na Uturuki watoto huzaliwa wakike na wakifika umri wa kubahele hubadilika kuwa wa kiume na kuendelea na maisha ya kiumeni
Hapana,hermophrodite anakuwa na jinsia zote mbili kazaliwa nazo na anakua nazo, ila huyu anayezungumzwa humu anazaliwa akiwa na jinsia ya kike na muonekano wa kike akifika balehe ile jinsia ya kike inapotea na kabisa inakuja ya kiume na hata character za kiume zinaonekana kama ndevu,umbo nkHermaphrodite?! sio?
Halafu unaweka video nini haja ya kuhifadhi majinaKijana huyo ambaye jina lake limehifadhiwa kwa sasa
Hapana hajatungaAu labda hii story huyo jamaa ameitunga ili aweze kupitia ile shortcut ya maisha who knows.