Usiangaike kwenda polisi au kumfukuza wewe fanya kazi ununue kitanda kwani kwa sasa ni haramu ila ukishanunua kitanda, kitanda hakizai haramu, nyambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafunimeuliza ivo kwa maana kuwa; nikamfungulie mashtaka ya kuniibia au nimpe talaka tu basi aende na safari zake?
embu kua mkubwa na acha mawazo mgando aisee we ushaibiwa na ushapigiwa bado unataka ushauri?
hahahahah wajinga ndio waliwao........ametoroka na vitu ndani anatoa sababu ya kijinga kwamba aliacha mlango wazi .....alikuwa anakimbilia kwa mtia mimba sasa amerudi na mimba bado huelewi cha kufanya
Usiangaike kwenda polisi au kumfukuza wewe fanya kazi ununue kitanda kwani kwa sasa ni haramu ila ukishanunua kitanda, kitanda hakizai haramu, nyambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafu
fanya maamuzi kama mwanaume.
huyo mwanamke ni mama yako ? useme yupo mmoja tu .. kweli sasa naanza kuamini wanaume ni wachache
so niconclude tu sio?
Nakumbuka wakati wa ujana kuna rafiki alimtukana mwenzie kwa kumwambia.....Bora ungefia kwenye sabuni kuliko ustaarabu wa baba yako ukazaliwa.....Loooh!!!!!!!!! Rafiki nafikiri nawe hili litakuhusi kana siyo linakuhusu; dada yangu miss chagga nilikuambia wanaume tunabaki wachache okoeni hili janga.
hahahaha we unaonaje
huyo mwanamke ni mama yako ? useme yupo mmoja tu .. kweli sasa naanza kuamini wanaume ni wachache
Ndugu wanajukwaa,
Mnamo mwezi wa 7 tarehe 1 kama sikosei nilileta uzi hapa kuwa mpenzi/mwanamke niliyekuwa ninaishi nae alisafisha kila kitu na kutoroka wiki moja kabla sijaleta uzi huo.
Kwa kumbukumbu ilikuwa kama tarehe 22 mwezi wa 6.Jana kunako majira ya mchana nikiwa kwenye chumba changu cha kupanga alichoniacha nikiwa sina kitanda wala nguo ya kubadilisha nikasikia watu wawili wanapiga hodi.
Baada ya kufungua nikamkuta ni yule aliyekuwa mpenzi wangu yupo na rafiki yake na wakati huo alikuwa analia akiomba nimsamehe kwa alichokifanya.
Nikajaribu kumuuliza vitu alivipeleka wapi amedai eti anasema yeye aliviacha ndani hakuchukua chochote isipokuwa wakati anaondoka hakufunga mlango kwahiyo wezi wanaweza kuwa waliingia baada ya yeye kuondoka.
Lakini sikuishia hapo nikamuuliza nini kilimfanya atoroke akaniambia yeye mwenyewe haelewi ni kwanini alifanya vile na bado ananipenda anahisi ni pepo tu lilimuingia.
kibaya zaidi nilipoenda kumpima amekutwa na mimba ya wiki 3 ila hajaathirika.
Je nifanyeje?
Kweli kabisa miss chagga,
Hivi unaweza kuanzia wapi kuongea na mtu kama huyo na kujiuliza cha kufanya?
Anyway, tunatofautiana sana. Sikutegemea kabisa kama mtu anaweza kuwa na cha kufanya na mtu wa namna hiyo endapo alijitorokea mwenyewe!! Tena huko alikoenda akajilia maraha na kujipatia mavuno!
Hata hivyo naona vijana wa siku hizi wana jinsi yao kuishi!
aiseee ila wanaume mmezidihata wanawake ni wachache pia.