Mzee kama una biashara na utawala huu anza kuanua vilivyo vyako mambo hayako sawa labda kama huna akiliUpo pale unakunya.
Hivi hii nchii mnaichuliaje kinda.
Subiria chawa wa mama watakavyopiga kona 🤣🤣🤣Watu wenye akili waliomsikiliza Polepole leo inatosha kujua kila kitu kishapangwa na kete inasogezwa moja moja!! Ndugu zangu nampenda Samia lkn akili ndogo ya kuvukia barabara inatosha kukufungulia fumbo hili.
Hili nimeliona na nimeogopa.Mzee kama una biashara na utawala huu anza kuanua vilivyo vyako mambo hayako sawa labda kama huna akili
Ukiona hivi Kuna mambo yasiyo kawaida yanaendelea. Kila mtu anajifanya mtabiri ili yakitokea aseme nilisema.Leo id mpya mna breaking nyingi,siyo kawaida kabisa
SureUkiona hivi Kuna mambo yasiyo kawaida yanaendelea. Kila mtu anajifanya mtabiri ili yakitokea aseme nilisema.
Kuna makinda walitabiri mengi kwa ZWAZWAMzee kama una biashara na utawala huu anza kuanua vilivyo vyako mambo hayako sawa labda kama huna akili
Alafu since JAMII haijawa JAMBO.Leo id mpya mna breaking nyingi,siyo kawaida kabisa
Na uzio umewekwa lock hatoki wala kuingia mtu!Hili nimeliona na nimeogopa.
,😁😁😁😁Mzee kama una biashara na utawala huu anza kuanua vilivyo vyako mambo hayako sawa labda kama huna akili
Jamaa naona wamejipanga vyema Kuna id mpya zinasambaa kama mafuta ya taa 🤣🤣🤣Leo id mpya mna breaking nyingi,siyo kawaida kabisa
🤣🤣🤣Hili nimeliona na nimeogopa.
Joined June 12,2025Watu wenye akili waliomsikiliza Polepole leo inatosha kujua kila kitu kishapangwa na kete inasogezwa moja moja!! Ndugu zangu nampenda Samia lkn akili ndogo ya kuvukia barabara inatosha kukufungulia fumbo hili.