Aliyemuelewa Kipanya leo atusaidie

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
1600705704811.png
 
Avimbe apasuke lakini lazima azikwe....
Hata kaburi likibomoka litachimbwa jipya.
Declared dead burrial is a must!!!!
dawa ya maiti iliyovimba ni kaburi kubwa lenye kufunikwa na zege.
 
Maiti ni watanzania wasio na ufahamu.

Gari ni Tanzania.

Dereva ni magufuli.

Magufuli amewabeba watanzania wasio na ufahamu kwenye gari bovu.

Lakini hata yeye mwenyewe hajui kwanini gari ni bovu.

Anahangaika na vitu visivyowasaidia wananchi. Amebaki kukorokochoa injini kumbe shida iko chini.

Gari limebaki pale pale.
Dah!!!,Km umepatia vile.Hebu chukua soda hapo kwa Mangi nitalipa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom