Aliyekuwa rais wa Marekani alazwa

Aliyekuwa rais wa Marekani alazwa

#manjalaka na $laki c pesa nimependaje mlivoseama.bora afe maana ni muuaji mkubwa na hajawahi kuitwa GAIDI sijui kwanini? akina OBAMA hawaitwi MAGAIDI?
 
Aliyekuwa rais wa Marekani George H.W Bush amekimbizwa katika hospitali moja ya Houston nchini Marekani baada ya kupatikana na tatizo la kupumua. Kulingana na madaktari,Bush mwenye umri wa miaka 90 anachunguzwa katika hospitali ya Methodist.

Alipelekwa katika hospitali hiyo na ambalensi jumanne usiku. Wawakilishi wa Bush wanasema kuwa hatua hiyo ya kupelekwa hospitali ni kama tahadhari. Rais huyo wa 41 ndio mzee kuwahi kuiongoza Marekani akimshinda Jimmy Carter kwa miezi michache.

Alihudumu kwa muhula mmoja baada ya kushindwa na Rais Bill Clinton. Bush ambaye hawezi kutumia miguu yake,hivi majuzi alionekana amekaa katika kiti cha magurudumo katika hafla iliofanyika mwezi November katika chuo kikuu cha Texas na mwanawe aliyekuwa rais George W Bush.

Kwanini Na Yeye Hajalazwa Johns Hopkins Hospital?
 
Hata mimi PhD nimelazwa hospitalini hapa tHouston Texas St.Louis hospital nasumbuliwa na tumbo.
 
Last edited by a moderator:
Wekeni picha ake...

Picha plz. Wengine tushakisahau hicho kichaka


Bush-650x400.jpg
 
acha hizo, kwani comrade mugabe ana miaka mingapi kama siyo 91 sasa na bado rais
Sasa unabisha nini? data mbalimbali zinaonyesha umri wa Mtanzania ni miaka 51 na wenzetu wa Marekani na Ulaya ni miaka 80. Kuna sababu mbalimbali zinazopelekea umri wetu wa kuishi kuwa miaka 51, mfano UKIMWI, Vifo vya watoto wachanga, vifo vya kina mama, malaria nk. kwa wenzetu haya mambo wameshayadhibiti kitambo.

 
Life Expectancy na umri wa mtu mmoja mmoja ni vitu viwili tofauti, pamoja na sisi kuwa na life expectancy ya chini lakini bado kuna watu wanagonga hadi miaka mia. Hiyo tisini wako wengi na hawatumii hata wheelchair. Mfano mzuri ni mzee Mwinyi nadhani atakuwa anakaribia 90 au ameshafikisha kabisa na anakata mitaa utadhani ana miaka 30.
How about mzee KINGUNGE?
 
Bora afe na hata mwanae angekufa tu naye,hawa jamaa hawafai hata kidogo
 
Bush mwenye umri wa miaka 90
Rais huyo wa 41 ndio mzee kuwahi kuiongoza Marekani akimshinda Jimmy Carter kwa miezi michache.
He is the oldest living former US president and a World War II veteran. He can no longer use his legs, but in June celebrated his 90th birthday by making a tandem parachute jump.
.

Jambazi taarifa ni sahihi kabisa lakini kwenye tafsiri sisisi
ni Kwa Rais aliyehai mpaka leo mwenye umri mkubwa (90) ni huyo Bush
lkn aliyewahi kutawala ni Ronald Reagan alikuwa Ikulu (White House) akiwa na umri wa miaka 70 hadi 78 akitawala huo ukiwa ni umri mkubwa kuliko marais wote walioingia White House (1911-2004)
The average age of accession is 54 years and 11 months, which falls between Herbert Hoover (22nd) and Lyndon B. Johnson (23rd). The youngest person to assume office was Theodore Roosevelt (age 42), who became president following William McKinley's assassination. The youngest president elected to office was John F. Kennedy (age 43 years, 236 days). The oldest president to assume office was Ronald Reagan (age 69 years, 349 days)
 
Back
Top Bottom