Aliyekuwa rais wa Marekani alazwa

Aliyekuwa rais wa Marekani alazwa

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
16,654
Reaction score
18,804
Aliyekuwa rais wa Marekani George H.W Bush amekimbizwa katika hospitali moja ya Houston nchini Marekani baada ya kupatikana na tatizo la kupumua. Kulingana na madaktari,Bush mwenye umri wa miaka 90 anachunguzwa katika hospitali ya Methodist.

Alipelekwa katika hospitali hiyo na ambalensi jumanne usiku. Wawakilishi wa Bush wanasema kuwa hatua hiyo ya kupelekwa hospitali ni kama tahadhari. Rais huyo wa 41 ndio mzee kuwahi kuiongoza Marekani akimshinda Jimmy Carter kwa miezi michache.

Alihudumu kwa muhula mmoja baada ya kushindwa na Rais Bill Clinton. Bush ambaye hawezi kutumia miguu yake,hivi majuzi alionekana amekaa katika kiti cha magurudumo katika hafla iliofanyika mwezi November katika chuo kikuu cha Texas na mwanawe aliyekuwa rais George W Bush.



[h=1]George HW Bush taken to hospital
[/h]Former US President George Bush Senior has been taken to hospital after suffering from a shortness of breath, his spokesman says.

Mr Bush, 90, was taken to the Houston Methodist Hospital as a precaution, and "will be held for observation, again as a precaution", said Jim McGrath.

Two years ago, Mr Bush was treated in the same hospital for more than two months for a bronchitis-related cough and other issues. He was president from 1989 to 1993.

He is the oldest living former US president and a World War II veteran. He can no longer use his legs, but in June celebrated his 90th birthday by making a tandem parachute jump.

His son George W Bush served as president from 2001 to 2009.

Source: BBC news
 
Mnaona Life Expectacy ya wenzetu ilivyo juu, sisi hapa bongo nadhani ni miaka 52.
 
Mnaona Life Expectacy ya wenzetu ilivyo juu, sisi hapa bongo nadhani ni miaka 52.
Life Expectancy na umri wa mtu mmoja mmoja ni vitu viwili tofauti, pamoja na sisi kuwa na life expectancy ya chini lakini bado kuna watu wanagonga hadi miaka mia. Hiyo tisini wako wengi na hawatumii hata wheelchair. Mfano mzuri ni mzee Mwinyi nadhani atakuwa anakaribia 90 au ameshafikisha kabisa na anakata mitaa utadhani ana miaka 30.
 
Mungu ampe maisha amuone mwanae mwingine akichukua urais wa Marekani mwaka 2016
 
Mungu amlaani ameua waislam wengi sana

Kwani wakati Mudy anaeneza uislam unajua aliua wakristo wangapi?, fuatilia ndio utajua Bush ni cha mtoto

ISIS ni reflection ya enzi hizo
 
CV ya Mwinyi kwa ufupi, ona umri wake

[TABLE="class: infobox vcard"]
[TR]
[TH="align: left"]Born[/TH]
[TD] 8 May 1925 (age 89)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Nationality[/TH]
[TD]Tanzanian[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Political party[/TH]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Spouse(s)[/TH]
[TD]Siti Mwinyi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Relations[/TH]
[TD]Hussein Mwinyi (son)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Children[/TH]
[TD]12[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Religion[/TH]
[TD]Islam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Nickname(s)[/TH]
[TD]Mzee Ruksa[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Huyu shetani ameua sana watoto wa Iraq wasio na hatia yeye na nwanawe ,Hawa mashetani bora wafe tu
 
Kuna mistari kwenye Quran inagiza wakristo wauawe, sitaiweka hapa ili nisiaharibu mjadala

kama ulileta thread yako pia ni vyema kuweka na huo uzi wako mwingine pia tukajua kama wakristo waliagizwa wauliwe na waislam
 
Bado hajafa tuu? Mwenye taarifa atupe jamani tunasubiri kwa hamu kusikia kifo chake yule mshenzy
 
Back
Top Bottom