Aliyekuwa muigizaji wa Isindigo maarufu kwa jina la Letti Matabhane Afariki

Huyu ndo Nandipha matabane aliekua pia akiitwa Leti matabane.mbona picha ziko tofauti ama mambo ya calolite?.
news-graphics-2006-_622313a.jpg

Umechanganya mambo mambo, Letti na Nandipha ni watu tofauti ila wali act km mawifi.
 
Pumzika kwa amani Letty nilipenda ulivyocheza ktk nafasi yako, ulivyokufa kwa ajali na sasa umekufa kweli. Nitakukumbuka.
 
Na wanaosema nandipa ni +ve waongo,kiuhalisia nandipha sio +ve ila kwenye tamthiliya ndo anaigiza kama muathirika,
 
Innalillahi wainna lillahi rajiuun...hakika sisi ni wa allah na kwake tutarejea RIP dada Letti
 
Sasa hawa HIV/AIDS activist wanakasirika nini I believe using or not using ARVs is a personal choice.

Hope you lived your life the way you wanted it
 
Back
Top Bottom