Aliyekuwa mhifadhi mkuu Serengeti Hando, alistahili Ukurugenzi TANAPA kipindi hiki

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,954
Tunamkumbuka Alivyo kuwa ni mtumbuaji majipu kama JPM na alistahili walau kuwepo aidha kwenye bodi ya tanapa au mkurugenzi mkuu Ili kuendana na speed ya mheshimiwa JPM.

Ni maoni yangu tu kwa wadau wa utalii au mwasemaje?
 
Tunamkumbuka Alivyo kuwa ni mtumbuaji majipu kama JPM na alistahili walau kuwepo aidha kwenye bodi ya tanapa au mkurugenzi mkuu Ili kuendana na speed ya mheshimiwa JPM.
Ni maoni yangu tu kwa wadau wa utalii au mwasemaje???
Kwani yupo wapi?
 
kweli huyu ni mzalendo wa kweli. wageni kwenye mbuga na hotel za kigeni walifanya shereehe alipoondoka serengeti. pata picha nini manayake
 
Namkumbuka that guy was serious na kazi yake. Kipind chake Ile hifadhi ilkua na heshima na MAENDELEO makubwa kiutendaj. Hata mazingira ya kufanyia kazi ya watumishi yalkua poa sana. Nakumbuka ujenz WA nyumba za watumishi pale fort ikoma pamoja na ofc za senapa ila Leo ukipata hizo sehem km ziko stagnant hiv
 
....

....umenikumbusha mbali Mkuu "Fort Ikoma"
 
Fort na seronera palkua pazur sana hata shule za msing fort na seronera zlkua zinafanya poa sana ila sku hiz mhhh Hoi
....

.....nilifika Four season (Bilila) wageni wangu waliponda sana ilibidi niwahamishie Serena
 
Back
Top Bottom