Aliyekuwa mgombea wa UPDP Igunga ahamia CUF

Aliyekuwa mgombea wa UPDP Igunga ahamia CUF

Cuf ndo inamfaa akikutana na mtatiro wote wanaropoka mbaya
 
Huko kunamfaa sana. Atakuwa anapiga bonge la laivu shoo ndani ya mkokoteni wa ng'ombe kwenye kampeni zake.
Atagoma kupanda chopa huyu nawaambieni.
 
Tuambiane ukweli tu huyu alikuwa mwana CCM B tangu mwanzo na alitumika katika ile kampani ya kuwaharibia wapambanaji wa ukweli ila deal limeharibika ameamua kujidai ati anahamia CCM B!
 
Back
Top Bottom