Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Agnesta Kaiza, amedai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakikushinda Jimbo la Segerea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwa nguvu yake ya kisiasa, bali kwa sababu ya sintofahamu iliyokuwepo ndani ya vyama vya upinzani vilivyounda umoja wa UKAWA
Kaiza ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na wakazi wa Kata ya Kisukuru, katika Jimbo la Segerea wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam, siku ya Julai 27, 2025 katika mkutano wa ndani wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) uliolenga kuhamasisha ushiriki wa wananchi kwenye masuala ya kisiasa
Ameongeza kuwa kwa mujibu wa tathmini yao, ushindi wa CCM ulikuwa ni matokeo ya upinzani kugawanya kura zake kwa wagombea wawili wa upinzani katika jimbo hilo, siyo kwa sababu wapiga kura walikikataa chama cha upinzani au sera zake
Chanzo: Jambo TV