Aliyekuwa DG wa TRC, Masanja anatakiwa kuwa Mahabusu as we speak

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,770
Reaction score
10,665
Hakuna mmbunge mwenye maslahi kuzidi hawa ma DG wa taasisi za Umma.

Massanja aliamua ku risk UDG wake over ubunge, hii ni kwa sababu Massanja anajua alichokifanya pale TRC na ufisadi mkubwa kwenye SGR …. amekimbia kukwepa uwajibikaji na kudondokewa na jumba bovu.

1. Baada ya Kifo cha JPM , under Samia and Massanja, umaliziaji wa reli za SGR ukagubikwa na Rushwa kilichopelekea reli kujengwa chini ya kiwango :

Mambo mengi yakaenda nje ya script- hapa pesa zilipigwa sana katika ununuzi wa vifaa vya Ujenzi.Bei elekezi zilikuwa ni kubwa kulinganishwa na bei ya soko.

Massanja akiwa kama Accounting Officer ndio alihusika na usimamizi wa hizi tender zote.

Kama mnakumbuka kuna kipindi treni ilikuwa inazimazima sana, tukadangànywa ngedere ndio wanaharibu miundo mbinu —- hii ilikuwa ni SCAM ya kuficha ukweli wa system mbovu zilizotumika kuunganisha nodes za train ambazo were purchased chini ya low quality kwa bei kubwa kulinganisha bei ya soko, poor training walizopata madereva wa SGR ziliathiri Ufanisi wake chini ya Usimamizi wa Massanja.

Aidha , ununuzi wa train za SGR ukagubikwa na biggest scam in our history —- train zilizokuwa kwa script sizozilizokuja : train zilizokuja ni old version na zinatumia electric system za zamani ambazo hata repair yake ni ngumu na ndio maana zinasumbua na zitaendeleakusumbua. Leo tunaambiwa Mvua, Mradi wa over trillions unaathirika na mvua ?

Ajali ya Treni ilisababishwa na poor electric system zinazofeli marakwamara in addition to inadequate wiring system ya train ( Routes), poor training waliyopata maderava - hadi kwenye training ya staff … the Accounting Officer corrupted

Massanja na washirika wake wanapaswa kuwa Jela.

Wizi mwingine ni kwenye design, kuna tofauti gani kati ya daladala na business class ? au Royal class? Nadhani wapo mliopanda business class ya SGR Ya Nairobi to Mombasa, pamoja na Royal yao. You can tell

Masanja afikishwe kizimbani ASAP

Tanzania is bleeding over curruptions

Under Samia, the Country has lost its international legacy ambayo ilitengenezwa over 60 years

Under Samia , nchi imeingia kwenye biggest corruption scandal kwenye miradi mikubwa yote na miradi yote imefeli hata ile aliyoachiwa kwa usimamizi ikiwemo SGR

Under Samia , nchi imemwaga damu than any other time in our history

Under Samia , nchi imeingia kwenye inflation than any other time in our history

Under Samia, Nepotism imekuwa the biggest scandal in our political history - Rais kuteua mwanae na mkwe to hold public positons altogether - What a shame to our state security system

Under Samia, Jeshi la wananchi, vyombo vya Ulinzi na Usalama vimedhihirisha kuwa sio mali ya Umma na vimepoteza HESHIMA kwa wananchi…

Under Samia, the country is no longer safe. what a shame and disppointment to our Army - Reform ya Jeshi ni mandatory

the only hope ni Gen Z to defend and protect our country over old pirates- The old generation has failed our Country

Dr Megalodon Mushi
Canada
 
Attachments

  • v09044g40000d4rraqvog65lmt4eom5g.mp4
    2.2 MB
GEN Z are not there to be fuc-k---up

Waacheni vijana waishi maisha mpaka uzee wao.
 
Wakulaumiwa ni samia.baada ya kurithi kurithi wake kila kitu akawa anaagiza kifanyike kinyume na taratibu ili apate 10%ya kuwagawia akina abduli
 
You’re right, there’s something fishy about that move. Kama nia ni kutumikia umma, hiyo kazi aliyokuwa nayo TRC ilikuwa more meaningful na impact yake ilikuwa more direct kuliko kazi ya ubunge!
 
Siyo kwamba Masanja kaondoka TRC kwa maamuzi yake. Ni script ilipangwa na wahuni ili ufisadi wao usijulikane
 
Absolute
 
Ni kweli , ndio maana hakutumbuliwa

Alipewa maelekezo na Mabosi wake ili mambo yasije haribika

Observe careful U turn aliyopiga Masanja , a very calculated move
 
Hakuna mmbunge mwenye maslahi kuzidi hawa ma DG wa taasisi za Umma.

Massanja aliamua ku risk UDG wake over ubunge, hii ni kwa sababu Massanja anajua alichokifanya pale TRC na ufisadi mkubwa kwenye SGR …. amekimbia kukwepa uwajibikaji na kudondokewa na jumba bovu.

1. Baada ya Kifo cha JPM , under Samia and Massanja, umaliziaji wa reli za SGR ukagubikwa na Rushwa kilichopelekea reli kujengwa chini ya kiwango :

Mambo mengi yakaenda nje ya script- hapa pesa zilipigwa sana katika ununuzi wa vifaa vya Ujenzi.Bei elekezi zilikuwa ni kubwa kulinganishwa na bei ya soko.

Massanja akiwa kama Accounting Officer ndio alihusika na usimamizi wa hizi tender zote.

Kama mnakumbuka kuna kipindi treni ilikuwa inazimazima sana, tukadangànywa ngedere ndio wanaharibu miundo mbinu —- hii ilikuwa ni SCAM ya kuficha ukweli wa system mbovu zilizotumika kuunganisha nodes za train ambazo were purchased chini ya low quality kwa bei kubwa kulinganisha bei ya soko, poor training walizopata madereva wa SGR ziliathiri Ufanisi wake chini ya Usimamizi wa Massanja.

Aidha , ununuzi wa train za SGR ukagubikwa na biggest scam in our history —- train zilizokuwa kwa script sizozilizokuja : train zilizokuja ni old version na zinatumia electric system za zamani ambazo hata repair yake ni ngumu na ndio maana zinasumbua na zitaendeleakusumbua. Leo tunaambiwa Mvua, Mradi wa over trillions unaathirika na mvua ?

Ajali ya Treni ilisababishwa na poor electric system zinazofeli marakwamara in addition to inadequate wiring system ya train ( Routes), poor training waliyopata maderava - hadi kwenye training ya staff … the Accounting Officer corrupted

Massanja na washirika wake wanapaswa kuwa Jela.

Wizi mwingine ni kwenye design, kuna tofauti gani kati ya daladala na business class ? au Royal class? Nadhani wapo mliopanda business class ya SGR Ya Nairobi to Mombasa, pamoja na Royal yao. You can tell

Masanja afikishwe kizimbani ASAP

Tanzania is bleeding over curruptions

Under Samia, the Country has lost its international legacy ambayo ilitengenezwa over 60 years

Under Samia , nchi imeingia kwenye biggest corruption scandal kwenye miradi mikubwa yote na miradi yote imefeli hata ile aliyoachiwa kwa usimamizi ikiwemo SGR

Under Samia , nchi imemwaga damu than any other time in our history

Under Samia , nchi imeingia kwenye inflation than any other time in our history

Under Samia, Nepotism imekuwa the biggest scandal in our political history - Rais kuteua mwanae na mkwe to hold public positons altogether - What a shame to our state security system

Under Samia, Jeshi la wananchi, vyombo vya Ulinzi na Usalama vimedhihirisha kuwa sio mali ya Umma na vimepoteza HESHIMA kwa wananchi…

Under Samia, the country is no longer safe. what a shame and disppointment to our Army - Reform ya Jeshi ni mandatory

the only hope ni Gen Z to defend and protect our country over old pirates- The old generation has failed our Country

Dr Megalodon Mushi
Canada
It is so sad to find our self strangled this much at a very wrong time!
 
Eti ubunge ulipe zaidi ya DG, nilishangaa sana
DG akiwa ofisini anaweza kula 200M ndani ya mwezi

Pesa ambayo mmbunge anaweza asipate in 5 years . Mashirika ya Umma hawa ma accounting Officer( Mkurugenzi Mkuu ) huwa wanahela sana hasa taasisi kama TRC inayojihusisha na manunuzi . Jamaa amefanya a very calclulated movie akasepa baada ya kupiga millions na anajua what he did kwa kushirikiana na The Samias , Uzuri kwenye Utumishi unaitwa kokote ulipo

Massanja jiandae utafungwa kama sio leo basi kesho
 
Attachments

  • IMG_6917.jpeg
    IMG_6917.jpeg
    179 KB · Views: 5
  • IMG_6916.jpeg
    IMG_6916.jpeg
    205.7 KB · Views: 6
Siyo kwamba Masanja kaondoka TRC kwa maamuzi yake. Ni script ilipangwa na wahuni ili ufisadi wao usijulikane
Mradi hauwezi kutoboa
Upo chini ya kiwango sana . Huwa I wonder TAKUKURU na CAG kazi yao hasa ni nini .

Samia is lost , the country is lost

Mradi wa Trillion 29 kila wiki unakioja, last time kidogo uue watu…. Ninawasiwasi sana kama kweli haujaua watu ile ajali :::::***** Masanja duh

hatotoboa and for as long as ameshirikiana na the mwafulani ni hatari sana
 
Back
Top Bottom