encyclopaedia Tanzaree
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 513
- 397
Hana namna maisha yamekaba ukikabwa unakuwa sadaka.Habari wanajamvi!
Kuna rafiki yangu fulani pindi tunasoma A-level kule Mwanza, hakuna kazi aliyokuwa akiipondea kama ya upolisi.
Sasa kinachonishangaza jana amenipigia simu kuniulizia kama nina fununu zozote kuhusu intake za polisi kama zimetoka au kama nina fununu zozote.
Hoja ya kujadili hapa ni je, vijana Wakitanzania tunaelekea wapi?
Kama mtu anapigania kupata kazi ambayo haipendi kabisa atatoa huduma sahihi kwa wananchi?
Nini mustakabali wa Taifa letu kama kunakuwa na wimbi la watu wanaofanya kazi ambazo hawazipendi?
NOTE:
LOGICAL REASONONG AND ARGUMENTS WILL HIGHLY BE APPRECIATED.
KARIBUNI!
Duh sasa hii sio hatari kwa Taifa?Hana namna maisha yamekaba ukikabwa unakuwa sadaka.
Duh!Angalia Sizonje hakuupenda uraisi hakujiandaa kabahatisha tu angalia sasa mwelekeo wa nchi unapoelekea. Kavuruga na kuharibu kila kitu kama Bata anavyoharisha.
MTU wa ajabu sana
Kwanini mkuu?Bora nikafunge Nyuki na kilimo cha mboga mboga kuliko jeshi la polisi...
Kuna watu wanaajiriwa kwa lazima?Njaa tu imemkumba.
Mie nina amini kwa dhati kabisa kutoka moyoni kwangu,kama umesoma vizuri na ukaelewa ulichosoma,huwezi hata siku moja kufikiria kuwa polisi au kuomba kazi ya ipolisi labda serikali ikutafute ikupeleke kama walivyopelekwa akina Mwema.
Hili ni bomu kubwa yaani watu siku hizi hawaulizii majukumu au ugumu wa kazi, yaani cha kwanza kuuliziwa ni cheo na mishahara.Hana namna maisha yamekaba ukikabwa unakuwa sadaka.
Ni hatari sanaDuh sasa hii sio hatari kwa Taifa?
Hawana namna vijana!! Ajira hakuna, na nafasi zikotoka ushindani ni mkubwa sana eg TRA majuzi tu!!!Njaa tu imemkumba.
Mie nina amini kwa dhati kabisa kutoka moyoni kwangu,kama umesoma vizuri na ukaelewa ulichosoma,huwezi hata siku moja kufikiria kuwa polisi au kuomba kazi ya ipolisi labda serikali ikutafute ikupeleke kama walivyopelekwa akina Mwema.
Wewe si umetumbuliwa au kuna ndugu zako waliokua na vyeti fake,au familua yako inaishi hapa tz kwa ufisadi sasa kwa mtu km wewe tutegemee utampenda huyo sizonje km unavyosemaAngalia Sizonje hakuupenda uraisi hakujiandaa kabahatisha tu angalia sasa mwelekeo wa nchi unapoelekea. Kavuruga na kuharibu kila kitu kama Bata anavyoharisha.
MTU wa ajabu sana
Kwani mtu haruhusiwi kubadili mawazo?Habari wanajamvi!
Kuna rafiki yangu fulani pindi tunasoma A-level kule Mwanza, hakuna kazi aliyokuwa akiipondea kama ya upolisi.
Sasa kinachonishangaza jana amenipigia simu kuniulizia kama nina fununu zozote kuhusu intake za polisi kama zimetoka au kama nina fununu zozote.
Hoja ya kujadili hapa ni je, vijana Wakitanzania tunaelekea wapi?
Kama mtu anapigania kupata kazi ambayo haipendi kabisa atatoa huduma sahihi kwa wananchi?
Nini mustakabali wa Taifa letu kama kunakuwa na wimbi la watu wanaofanya kazi ambazo hawazipendi?
NOTE:
LOGICAL REASONING AND ARGUMENTS WILL HIGHLY BE APPRECIATED.
KARIBUNI!
Kila mtu anaiyali ya kuchagua kazi aipendayo,si lazima wote wawe mabenker clack au wanasiasa,mbona mm kazi ya uchungaji sihiwezi lakini siwezi kumponda mchungaji,acheni hila hizo.Njaa tu imemkumba.
Mie nina amini kwa dhati kabisa kutoka moyoni kwangu,kama umesoma vizuri na ukaelewa ulichosoma,huwezi hata siku moja kufikiria kuwa polisi au kuomba kazi ya ipolisi labda serikali ikutafute ikupeleke kama walivyopelekwa akina Mwema.
Kazi ambayo inapobidi unatakiwa umtie pingu mama yako mzazi unasema ni kazi?Kila mtu anaiyali ya kuchagua kazi aipendayo,si lazima wote wawe mabenker clack au wanasiasa,mbona mm kazi ya uchungaji sihiwezi lakini siwezi kumponda mchungaji,acheni hila hizo.