Aliyekuambia unifuatilie nani?

Aliyekuambia unifuatilie nani?

Inaelekea mkeo mjanja na alishasoma alama za nyakati. Kutoka kwako ikawa Neema kwake
 
Na wewe kama umeamua kurudi home si ungehairisha tu ilo pambano. Halafu ilo goma (mchepuko) sio linaonekana lina mambo mengi inakuwaje unalipigia simu alipokei wakati mna mihadi? ukute lilikuwa linaliwa sehemu nyingine lilipomaliza ndio likakurupuka kukufuata wewe
 
Na wewe kama umeamua kurudi home si ungehairisha tu ilo pambano. Halafu ilo goma (mchepuko) sio linaonekana lina mambo mengi inakuwaje unalipigia simu alipokei wakati mna mihadi? ukute lilikuwa linaliwa sehemu nyingine lilipomaliza ndio likakurupuka kukufuata wewe

Ata mimi nilifikiri hivyo kwa kuwa mimi shida yangu ilikuwa nimkule ila nimebadili mawazo kutofika kuliko kuchelewa
 
Si mawazo yako yalikua kwenye utamu mwingine

na kweli sikukumbuka maana nilikuwa na mawazo ya kununua banana flavour(condom), ningelala naye wapi short time, ningevungaje, ningejifichaje wasinione watu wengine tunaofahamiana na nk.
 
We umejuaje alikuwa anakufuata wewe, au ndo alivyokudanganya???!! Waweza kuta alikuona kabisa ila akavunga ili kukuridhisha tuu
 
Pole kwa huyo waifu-tu-bii wako.....

Mungu ampe macho ya rohoni afanye uamuzi sahihi
 
Mkuu nipe namba ya huo mchepuko nikakuwakilishe
 
We umejuaje alikuwa anakufuata wewe, au ndo alivyokudanganya???!! Waweza kuta alikuona kabisa ila akavunga ili kukuridhisha tuu

Alinifuata na hakika kama sio angepita njia nyingine,

ndo maana nikamind aliporudi ilikuwa kidogo angelala nje
 
Habari
Jana katika harakati za kutaka kuchepuka kwa mlupo mmoja ambaye alikunywa bia zangu nyingi. Nilimwita sehemu ya tukio baada ya kutoka kazini huku nikivunga atokee. Kwa kweli hakutokea kabisa japo muda ulisonga sana.

Wife to be alinipigia simu kuna shida gani mbona umechelewa sana. Mimi nikajiuma uma kwamba nimemalizia kazi hapa nipo njiani. Niliondoka eneo la tukio nikiwa na hasira sana. Nikafika home nikachill. Baada ya kama nusu saa akani SMS uko wapi njoo nishafika. Nikatoka nje kwenda kununua vocha japo wife alihisi kuna kitu.

Baadaye nilimdanganya wife nimesahau bahasha ngoja niifuatilie. Nikachukua boda huyo nikaenda sehemu ya tukio. Huwa nina kawaida nikienda sehemu tata nashukiaga njiani. Ghafla nikamuona wife naye kapita na boda kama risasi hahaha nikacheka. Kumbe alikuwa hajaniona. Niliamua kurudi home ili nilete varangati la kwa nini anatokaga usiku bila taarifa.

Aliporudi alinikuta nimeshatia timu. Kidogo angekula kibano shenzi zake
kazi kunifuatilia na akome.

kuchepuka kipaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] #KUCHEPUKA_KIPAJI
 
Pole kwa huyo waifu-tu-bii wako.....

Mungu ampe macho ya rohoni afanye uamuzi sahihi

hakunaga malaika huku duniani kama unampenda mtu baki naye tu. sawa aniache kisa namichepuko alafu amfuate nani asiye kuwa nayo.

itakuwa sawa kuruka mkojo unakanyaga mav+. ata akipata macho ya rohoni bado hatamwona malaika ataona binadamu tena wanaume wenyewe kama mimi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom