What??? YNNAH unataka nijinyonge?
Unamkopi daddy angu wadhani ni penda penda???? Shindwa na utetemeke.....

Hata kanicopy nashangaa lol
Ngoja niiweke kwenye makabrasha yangu...
Weka mkuu weka! Weka kotekote, kwenye malaptop, makompyuta, mavinakilishi, manotbuku!
Moshi mweupe ushatoka juu ya paa!
hahaa bomba limebadilishwa