Aliyeko lonely

Aliyeko lonely

Acha kumsingizia urongo YNNAH bhana Endelea na beibe nasty wako

Nway nadhani niendelee kukuombea, ufahamu wako urejee kama zamani, kwani ni wazi hata vipofu wakilala huota wanamuona Twiga, Chui, Kuku ilhali hajawahi waona wanyama hao tangu azaliwe!
 
Last edited by a moderator:
Nway nadhani niendelee kukuombea, ufahamu wako urejee kama zamani, kwani ni wazi hata vipofu wakilala huota wanamuona Twiga, Chui, Kuku ilhali hajawahi waona wanyama hao tangu azaliwe!

Hahhahhaaaa
Hivi wao wakiota huwa wanaona nini ndotoni Judgement ?
Duh umewaza mbali sana bro.
 
Last edited by a moderator:
Tafuta wako bwana, acha kung'aa ng'aa macho hapa, kwani yule mdada hamkumalizana nae?

Nilibwagwa mwenzio..ndiyo niko humu natafuta coz nimesikia broken hearts zinakuja huku japo Whitney Houston yeye alisema hajui zinaenda wapi.
 
Hahhahhaaaa
Hivi wao wakiota huwa wanaona nini ndotoni Judgement ?
Duh umewaza mbali sana bro.

Ni kweli mkuu! Kipofu aliepofukia ukubwani (born not blind) akiota kamuona Twiga hupata real image ya Twiga.
Na kipofu (born blind) akimuota Twiga hupata image not real ya Twiga halisi, na images hizo hua ni tofautitofauti from one born blind to another.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom