britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,201
- 41,753
How?awe makini mnooo
Jamaa ana akili sana.awe makini mnooo
Bro unatafuta umaarufu ama nini? Mpaka Polepole mwenyewe anajuwa kuwa anawindwa, kuna mtu hii nchi hajui kuwa Polepole anapaswa kuwa makini?awe makini mnooo
Siyo mbaya kukumbusha na kuonyesha ni kwa kiasi gani anatafutwa, uzuri HP yuko mbele ya wakati japo kundi analopambana ni kubwa na lina ukwasi wa kufa mtu wanaweza kumhonga hata mtu wa karibu yako unayemwamini sana.Bro unatafuta umaarufu ama nini? Mpaka Polepole mwenyewe anajuwa kuwa anawindwa, kuna mtu hii nchi hajui kuwa Polepole anapaswa kuwa makini?
Slowslow huwa ni nonstop, akianza anatiririka bila kikomo. Hii sasa ukitilia maanani mpasuko wao huko na pia allies ndiyo wanazidi kumpa latest info na za zamani ambazo hakuwa akizifahamu.awe makini mnooo
Sitafunguka sana
Nimeshapata access naye nimempa jambo fulan kwa ajili ya usalama wake !!!
Britanicca
Bora ramli inayojenga kuliko kubomoaWe tumeshakuzoea na ramli zako
Mkuu Britannica jitahidini pia kuwalinda watu aina ya HHP kwenye idara maana ni wachache sana angalia wazee wote wamehanya kukemea uozo uliofanyika kumpata mgombea lakini jamaa akaachia mshahara, posho, na marupurupu ya kibalozi ilikupigania nchi na usalama wa rasilimali zake, mtapoteza sana uzalendo kama watu wenye nia ya dhati taifa lisonge mbele kama mtawaacha waingie kwenye 18 za wezi. Naamini mtaweza kumlinda HP na pia muungeni mkono kwenye mambo anayoyapambania.awe makini mnooo
Sitafunguka sana
Nimeshapata access naye nimempa jambo fulan kwa ajili ya usalama wake !!!
Britanicca
Nina uhakika huo hawa watu ni wa kulindwa !Mkuu Britannica jitahidini pia kuwalinda watu aina ya HHP kwenye idara maana ni wachache sana angalia wazee wote wamehanya kukemea uozo uliofanyika kumpata mgombea lakini jamaa akaachia mshahara, posho, na marupurupu ya kibalozi ilikupigania nchi na usalama wa rasilimali zake, mtapoteza sana uzalendo kama watu wenye nia ya dhati taifa lisonge mbele kama mtawaacha waingie kwenye 18 za wezi. Naamini mtaweza kumlinda HP na pia muungeni mkono kwenye mambo anayoyapambania.
Sasa sisi tusemeje hapa, mkuu 'britanicca' kama hatushirikishwi kwenye hilo!Awe makini mnooo
Sitafunguka sana
Nimeshapata access naye nimempa jambo fulan kwa ajili ya usalama wake !!!
Britanicca
ππInasikitisha wengi hamujuwi kusoma na kuelewa.. mnajibu kiuhodari kumbe mumechemsha kwenda upande mwingine. Dada Faiza amepumzika angewanyoosha π
Inasikitisha sanaInasikitisha wengi hamujuwi kusoma na kuelewa.. mnajibu kiuhodari kumbe mumechemsha kwenda upande mwingine. Dada Faiza amepumzika angewanyoosha π