Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 6,376
- 6,721
Simone Gbagbo mke wa rais wa zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo amefunguliwa mashtaka rasmi na mahakama ya kimataifa (ICC). Ingawa wengi wameikosoa ICC kama chombo cha mabepari kunyanyasa viongozi wa Afrika, kushitakiwa kwa Simone kunaweza kuwa somo kwa minyoo na kupe wanaotumia madaraka ya waume zao kuibia umma. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.