Aliyeko juu mngoje chini-hatimaye mke wa rais ashitakiwa

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,720
300543998_492389.jpg

Simone Gbagbo mke wa rais wa zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo amefunguliwa mashtaka rasmi na mahakama ya kimataifa (ICC). Ingawa wengi wameikosoa ICC kama chombo cha mabepari kunyanyasa viongozi wa Afrika, kushitakiwa kwa Simone kunaweza kuwa somo kwa minyoo na kupe wanaotumia madaraka ya waume zao kuibia umma. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.
 
anaweza kufa kabla ya muda wake tusubiri maana wanawake wanajifanya wako juu sana haswa waume zao wanapokuwa madarakani kama hapa kwetu yaani wake wa marais wetu kama mama kikwete tutamfikisha ICC ili atueleze nini walikuwa wanafanya yeye na failia yake kuu wanyama na kutuibia mali asili zetu
 
300543998_492389.jpg

Simone Gbagbo mke wa rais wa zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo amefunguliwa mashtaka rasmi na mahakama ya kimataifa (ICC). Ingawa wengi wameikosoa ICC kama chombo cha mabepari kunyanyasa viongozi wa Afrika, kushitakiwa kwa Simone kunaweza kuwa somo kwa minyoo na kupe wanaotumia madaraka ya waume zao kuibia umma. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

Hizo nguo za ccm walizovaa ni sehemu ya tatizo!
 
300543998_492389.jpg

Simone Gbagbo mke wa rais wa zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo amefunguliwa mashtaka rasmi na mahakama ya kimataifa (ICC). Ingawa wengi wameikosoa ICC kama chombo cha mabepari kunyanyasa viongozi wa Afrika, kushitakiwa kwa Simone kunaweza kuwa somo kwa minyoo na kupe wanaotumia madaraka ya waume zao kuibia umma. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

Duh nilidhani SALMA ningeshangilia kilugha.
 
Back
Top Bottom