Soma ile habari vizuriii...!! Polisi wanatengeneza vipi mazingira kwani wao ndo wamemuua??? Kwamba jamaa aliekuwa anacheat nae ndo kamuua then katoa hela jamaa afungwe???
ushawahi kuuaMkuu kuua ni kitu kigumu sanaa unaweza UA mtu ukabaki umesimama pembeni ya maiti hadi ukakutwa hapo...!! Damu nzito sanaa...
Kumbe mkuranga ipo Kenya nowdaysAliuwawa alikuwa ni Ex wajamaa..
Siku aliyopotea huyo mdada kuna mtu alimuona mshkaji akiwa na huyo mdada..
Jamaa anakiri alimuhisi demu wake anamcheat..
Siku ya demu anapotea jamaa alionekana nae..
Siku anakamatwa alikutwa na Tshirt yenye Damu..
Jamaa anakiri kumuua demu..
Alafu Judge uchwara anasema mahakama imekosa ushahdii wa kutoshaa ni upuuzii watu wanafungwa kwa ushahidi wa maneno tu leo ushahidi mpaka wa kimazingira upoo alafu falaa linaachiwaa huruu...Kenya kwa Rushwaaa wamezidi sasa haya mafalaa.
ACHENI KUJIDAI MANAIJUA SHERIA BHANA... Hii case kuna rushwa mimi angekuwa huyu ni dada angu kauwawa nasema ningekata rufaa mpaka Jamaa afungwe maisha kama sio Kunyongwaaa liuaji hiloo..
ndio uamini kuwa uchawi upoAna mungu maana amekiri kua ameua alafu tena ushahidi hautoshelezi makubwa
... hakimu tena? Kesi imeamuliwa na "half-bench"; majaji watatu wa mahakama ya mwisho Kikatiba. Labda ni kufanya tu case review under "full-bench" na Jaji Mkuu akiwemo na sio kukata tena rufaa maana hakuna mahali pengine zaidi pa kwenda. Wanasema ni mwisho wa reli.Muuwaji anakiri alafu Hakimu anasema hakuna ushahidi wa kutoshaa...!! Aibuuuu
... kwa maombi maalumu, case inaweza kufanyiwa review na full-bench majaji 7 wa Mahakama hiyo hiyo ya Rufaa uamuzi wao ndio utakuwa wa mwisho kabisa badala ya uamuzi wa half-bench majaji 3.Wakate rufaa kwenda wapi wakati ilikuwa mahakama ya Rufaa ??
Akwilina ile kesi ya polisi na imekaa kisiasaa...!!Mkuu ninani anayekamata na kukusanya ushahidi kwa mfumo wetu Tanzania? Ni vipi mpaka leo aliyehusika na Akwilina hajakamatwa etc... au mwenzetu unaishi Zimbabwe?
Hiyo siyo Rufaa... kwa maombi maalumu, case inaweza kufanyiwa review na full-bench majaji 7 wa Mahakama hiyo hiyo ya Rufaa uamuzi wao ndio utakuwa wa mwisho kabisa badala ya uamuzi wa half-bench majaji 3.
Hapa haki ishapokonywaaa mkuu alafu watu wanashangilia eti sheriaa...!!... kwa maombi maalumu, case inaweza kufanyiwa review na full-bench majaji 7 wa Mahakama hiyo hiyo ya Rufaa uamuzi wao ndio utakuwa wa mwisho kabisa badala ya uamuzi wa half-bench majaji 3.
... Mkulima Justine sioni akiwa na ushawishi wowote wa kuwashawishi majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa waamue in his favor. Sioni uwezekano wa rushwa hapo.Hapa haki ishapokonywaaa mkuu alafu watu wanashangilia eti sheriaa...!!
Kwa hiyo pamoja na kukutwa na tshirt yenye damu bado haikutoshaa???
Ofcoz kuna Injustice tu...!! Lakini mkulima pia anaweza kuwa na Ndugu wapo kwenye system au wana helaa so mazingira ya rushwa bado yapo mkuu.... Mkulima Justine sioni akiwa na ushawishi wowote wa kuwashawishi majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa waamue in his favor. Sioni uwezekano wa rushwa hapo.
Hii Nukuu ni kutoka Biblia Takatifu!; Kitabu cha Sheria (Torati) Sura ya.17 Aya ya.6!Nukuu ya Wapi hii
Akaye rufaa tena wapi!? hujui hayo ni maamuzi ya Mahakama ya rufaa?Nadhani wakipatikana watu wa kukata rufaa na kuisimamia hiyo kesi huyu Jamaa anaenda jela maisha.
Mshtakiwa ndie aliekata rufaa, sasa alikata rufaa ya nini kama kweli alikubali kwa hiyari kuwa kaua!?Aliuwawa alikuwa ni Ex wajamaa..
Siku aliyopotea huyo mdada kuna mtu alimuona mshkaji akiwa na huyo mdada..
Jamaa anakiri alimuhisi demu wake anamcheat..
Siku ya demu anapotea jamaa alionekana nae..
Siku anakamatwa alikutwa na Tshirt yenye Damu..
Jamaa anakiri kumuua demu..
Alafu Judge uchwara anasema mahakama imekosa ushahdii wa kutoshaa ni upuuzii watu wanafungwa kwa ushahidi wa maneno tu leo ushahidi mpaka wa kimazingira upoo alafu falaa linaachiwaa huruu...Kenya kwa Rushwaaa wamezidi sasa haya mafalaa.
ACHENI KUJIDAI MANAIJUA SHERIA BHANA... Hii case kuna rushwa mimi angekuwa huyu ni dada angu kauwawa nasema ningekata rufaa mpaka Jamaa afungwe maisha kama sio Kunyongwaaa liuaji hiloo..
... hoja kuntu hii!Mshtakiwa ndie aliekata rufaa, sasa alikata rufaa ya nini kama kweli alikubali kwa hiyari kuwa kaua!?