Aliyegundua

Aliyegundua

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
Mfupi ndio aliegundua "ngazi"
mdhambi ndie aliegundua "kutubu"
mvivu ndie aligundua "kuiba"
mpweke ndie aliegundua "kupenda"
mjinga ndie aliegundua "kusoma"
maskini ndie aliegundua "kuomba"
domo zege ndie aliegundua "punyeto"


endelezeni............................
 
Je aliyegundua kwamba ng'ombe anakamuliwa maziwa alikuwa anamfanyaje ng'ombe?
 
Mwenye huzuni ndie aliegundua kulia
 
fisadi mwendawazimu na mkoroki waligungua nini hawa wakapatikana?
 
Mfupi ndio aliegundua "ngazi"
mdhambi ndie aliegundua "kutubu"
mvivu ndie aligundua "kuiba"
mpweke ndie aliegundua "kupenda"
mjinga ndie aliegundua "kusoma"
maskini ndie aliegundua "kuomba"
domo zege ndie aliegundua "punyeto"


endelezeni............................

Domo zege ndiye aliyegundua 'ubakaji'
 
Waziri wa mariasili ndiye aliyegundua twiga.
 
Mvivu wa kutembea ndiye aliye gundua vyombo vya usafiri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom