Aliyefungashia: Happy Inye...!!!

Mkuu nyuzi zako za karibuni naona unafuata mizizi ya Mbuzi Mzee
 
With all that natural resource bado anakaa chumba kimoja!???
 
Wakushoto katisha,,,,anaonekana anayaweza
 
Yaani nimefungua kwa kasi nikijua nakuja ona bonge la nyoro kumbe matani bhana! Kah!
 
du!!! kazi haswa maana anajisikia raha kama vile hana baba wala mama na ndugu kwa mtz kakulia uswazi ni aibu, kweli haki kwa wote na wakiwezeshwa wanaweza sijui na sisi tuwe tunaonyesha nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…