Habarini wana jamii? Naomba kufaham kama kuna mtu yeyote yule aliefanikiwa kupata mkopo wa BOA bank, Nasikia kuna urasimu sana katika kupata mikopo kupitia bank hii je ni kweli hizi taarifa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.