Anita Kajembe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 215
- 487
Uelewa wangu mdogo unaniambia ujinga ndiyo unatuongoza, ndiyo umeshika remote control.
Umasikini unachangiwa na CCM amevaa dera la kijaniHao wageni bado wapowapo sana na vile king'amuzi kimelipiwa full package..
Chama anachoongoza mama ndiyo kiini cha umasikini wetu.Nimewaza kwanini mama mwenye maandishi ya umasikini amevalishwa mavazi ya kijani.