Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Eti Bashite ndiye kamanda wa watu wasiojulikana? Twafa na maamuzi ya zero brain, huyo hata unywele wake hautaonekana
Hahahaha kichaa kapewa rungu!Eti Bashite ndiye kamanda wa watu wasiojulikana? Twafa na maamuzi ya zero brain, huyo hata unywele wake hautaonekana
Kuna mahali popote mtu ameonekana akiomba msamaha chini ya mtutu wa Bunduki? Mungu aepushie mbali huko mnapotaka kuipeleka nchi! Why didn't You go to Police and explain that someone was confessing at a gun point?Kwa hiyo kumbe aliyeratibu ule msamaha chini ya mtutu wa Bunduki ni Lema.!! Yaani anajua kila hatua anayopiga binti wa watu. Wanasiasa mtatuumiza Sana kwa mipango yenu!
Hamna!Utawala huu UMELAANIWA.
hatari sana.....wakimbana huko utakachotuletea.....vituko tuEti baba yangu ni Mbowe umetisha sana asee
Hahahaaaa,kwa hiyo huyo Bashite hata vyombo vya ulinzi na usalama haviwezi kumthibiti?.Basi wenye nchi(WANANCHI) wenyewe wafanye maamuzi magumu.Bashite ni mtu hatari sana kwa usalama wa raia
Kuna mahali popote mtu ameonekana akiomba msamaha chini ya mtutu wa Bunduki? Mungu aepushie mbali huko mnapotaka kuipeleka nchi! Why didn't You go to Police and explain that someone was confessing at a gun point?
Siku baba yake Jiwe akimaliza muda wake, huyu dogo watu watamgawana kama pilau la hitma. Na atashangaa ni haohao wanaCCM wenzie wanamkenulia meno sasa kwa hila tu huku mioyo yao imejikunja.Watu wasiojulikana Kiongozi wao ni Bashite, huyu ICC lazima aende tu!....
Ameletwa ofisini kwenu mfanyeni mnavyotaka. Mmemtumia kwenye misheni ya kipumbavu amewageuka sasa mnaanza upya sarakasi.Walimuandama kwa vitisho mpaka akamuona baba yake mchungu.