Mkuu kwani we huwezi kuchora ramani ya sebule yako ukiwa ndani ya sebule?
mkuu kila kitu kinaanza kidogo kidogo mpaka kinafanikiwa.
-mwanzo watu walikua wanajua dunia ni tambarare yani unatembea wee mpaka unafika mwisho wa dunia baadae wakagundua ipo duara (japo ni uwongo mababu zetu walikua wanajua)
-then watu wakaanza kuchora try and error ramani zilikua na makosa mengi
-kadri muda unavyoenda na technology inaongezeka hadi tumepata vitu kama satelite ambavyo vinatoa details sahihi
Mkuu kwani we huwezi kuchora ramani ya sebule yako ukiwa ndani ya sebule?
alijuaje china na urusi zipo juu na africa ipo kwa chini, kama alitumia kweli idea ya sebule?
mulugo type
JF imeingiliwa na vitoto vidogo vingi sana mpaka inakirihisha.
Naomba kukuliza swali, unapouliza kuwa huyu aliyechora ramani ya dunia alikuwa amesimama wapi unamaanisha nini?
Mkuu kwani we huwezi kuchora ramani ya sebule yako ukiwa ndani ya sebule?
Natumai kati ya makosa waloyafanya hawakuweka Age Limit ndo maana tukaingia
Itabidi tuwaombe watuwekee jukwaa la watoto.
Kuchora ramani ya ulimwengu si kwamba mtu alitokea tu,akaanza kuchora.Hapana! Jamani ramani ya ulimwengu ilichukua muda mrefu sana,watu walitumia mamia ya miaka,ukisoma historia kuna waliosema kipindi hicho kwamba dunia ni circle,mwingine akaja na kumrekebisha na kusema dunia ni tufe na ina umbo kama yai, Ramani ya dunia ilikuwa ikichorwa kwa malengo tofauti yaani kisiasa mtu kufaham eneo lake la utawala linaishia wapi,wengine walichora ramani kwa ajili ya maslahi yao binafsi.Hivyo watu walifanya utafiti kuhusu ramani ya ulimwengu kwa mamia ya miaka.Ukisoma geography mambo ya map kuna techinics nyingi sana za kuchora ramani ukiwa chini ya ardhi,hivyo naweza sema geography ilikuako miaka mingi sana iliyopita,mpaka kufikia mwaka 1871 ndugu wawili walioitwa Wright brothers ambao walikuwa na duka la baiskeli huko marekani ndn walikuwa wa kwanza kupaisha ndege yao, kwa hiyo nayo ilisaidia kiasi fulani kuboresha ramani kwa kupiga picha za aerial photographs, pia uvumbuzi wa satellite ya kwanza ya umoja wa kisoviet mnamo 1957 pia ulisaidia kuboresha zaidi na vipimo halisi kabisa mpaka watu kufahamu kipenyo cha ulimwengu na uzito wa dunia.Mtu kama Galileo ambae alitengeneza telescope ya kwanza,akasema dunia inazunguka jua,waroma walimuua wao walikuwa wakiamini kuwa jua ndo linazunguka dunia,teh teh! teh! teh! jamani kuchora ramani ya ulimwengu usifananishe na kuchora ramani ya nyumba. Watu wametia nguvu bwana asikuambie mtu.
natumai wewe pia utakuwa mmoja wao kati ya hao watoto maana swali langu wewe ulilitafsiri katika hali ya kitoto ndio maana ukauona umri wa muuliza swali ni wa kitoto
Ulitaka akae wapi? mbinguni?
Ulitaka akae wapi? mbinguni?
Ramani ya dunia ilipatikana baada ya combination ya mambo mengi ikijumuisha maoni ya uncle pmwasyoke. It is illogical kusema kuwa: 'aliyechora ramani ya dunia'. Hivi kweli mtu mmoja tu angeweza vipi kuchora ramani ya dunia? Zoezi la kuchora ramani ya dunia si jambo jepesi kama vile unavyoweza kusimama ktk kichuguu na kuanza kuchora ramani .
Inaonekana mtoa mada alikua mtoro wakati wa somo la geography au hakupata kabisa masomo ya secondary(o-level).
Kuna maswali mengine hata ukijibiwa kwenye hizi coments hutaelewa vizuri,sanasana utajikuta majibu unayopewa yanapelekea wewe kupata maswali mengine zaidi.
Mimi nitakachokushauri,kama unapenda kupata ufahamu juu ya mambo fulani,soma vitabu vingi vinavyozungumzia hayo mambo.
Utafaidika sana.