Aliyechoka kashachoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyechoka kashachoka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SOKON 1, Feb 28, 2011.

 1. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Daima mtu aliyechoka na maisha ata umwambie nini hata kusikiliza kamwe kwani yupo tayari kufa baada ya kujichokea na kukata tamaa na maisha.
  JK anatakiwa alitambue hilo na sio kujifananisha na utawala uliopita kwani yeye sio kiongozi makini kwa sababu zifuatazo
  1. Ni serikali yake baadhi ya mawaziri kusema mabilioni ni vijisenti baada ya kuzila.
  2. Ni serikali yake ambayo ufisadi ndio umetokea
  3. Ni serikali yake iliyosababisha kupanda kwa gharama za maisha ambayo haijawai kutokea mwanzo.
  4. Ni serikali yake ambayo imedumisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
  Kwa sababu izo ni tosha kwa JK KUWA NA MASHAKA JUU NA UONNGOZI WAKE JUU YA WANANCHI WAKE na sioni umuhimu wa kuanza kuilaumu Chadema cha maina ni wananchi wametahabika ni mda wa kuwaachia wengine. Pia nawapongeza CDM kwa kuelimisha jamii na kuwapa mtazamo chanya pia kwa kumpa siku tisa kwani najua JK hana amani moyoni kwani anajua alichotenda ndio maana anaanza kutapatapa..
  people's power mpaka kieleweke.
  kweli HOFU IMEMUINGIA
  JK sababu ni mda wake kuondolewa madarakani.
   
Loading...