Aliyechinjwa Haiti

Aliyechinjwa Haiti

Zipo stori 2

Stori ya kwanza wanasema
Binti aliyeuawa alikuwa na urafiki na Binti aliyemuua.
Ni kwamba kuna genge la kihalifu(wahaini) waliwashawishi hao wadada wafanye pamoja kazi zao za kihalifu.
Huyo binti aliyeuawa akamwambia mwenzie hapana tusikubali.
Huyo mwenzie akakubali kimyakimya,
Sasa huyo marehemu akashangaa mwenzie safari za ndege hazikauki, maisha mazuri nk.
Baadaye aliwafuata hao wahaini,akaanza date nao.
Siku moja rafiki mtu anaona picha kwenye Simu yake.
Akamzunguka rafiki yake kwa kuwaambia hao wahaini kuwa huyu atatuchomq.
Wakampangia mtego.
Wakamwita sehemu wakamuua wakishirikiana na rafiki yake.
....
Stori ya 2
Wanasema huyo Dada muuwaji alikuwa anafake maisha.
Huyo rafiki yake marehemu akamkuta yupo na huyo muhimu, akawarekkdi,
Ndio maana wakamuua.

All in all videos zinatisha sana🥹
Wamechukuliwa hatua yoyote hao wauaji?
 
Back
Top Bottom