Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,783
- 39,497
Kuna dada huko tik tok kwa maelezo ya watu ni ana wafuasi wengi huko kwao Haiti kupitia mtandao wa tik tok.Akapata rafiki aitwaye Baby love urafiki ulikuwa mpaka kufikia kualikana hapo ndipo shida ilipo anzia.mkuu nimechoka kuandika we GoogleNaomba ufafanuzi wa kilicho tokea hasa mpka sasa sijaelewa