Aliyebakia ni Iran tu ili wazayuni watimize malengo yao

Lengo la Israel ni kutanua mipaka yake kadri inavyowezekana, huwa zinatafutwa sababu na kutengeneza mazingira Kila siku Ili Israel aingie vitani, lengo ni ardhi tu. Anayetafutwa ni muajemi, waarabu wenye nguvu tayari washaingia kwenye mfumo wa Israel.

Kila taifa la kiarabu lenye nguvu jua Israel anajua kinachoendelea na pia kuna uwezekano mkubwa anaratibu mambo mengi kwenye hizo nchi kubwa za kiarabu. Lengo la Israel kubwa ni kupata ardhi na mamlaka karibu Bara arabu lote. Option walizonazo Waarabu ni aidha wakubali sehemu ya matakwa ya Israel ama Uingie naye vitani, MBS na wenzake washaonja utamu wa Mali na mamlaka nani akubali kuingia vitani na Israel?, hapana atakayekubali..

Watu wengi hawajui, ni kwamba ni aidha Ukubaliane na Israel au uingie naye vitani mpigane na jua hakuna urafiki wa kudumu wa Israel na waarabu hivyo basi ipo siku isiyo na jina kitanuka arabu yote maana utulivu ulioko baadhi ya nchi kubwa za kiarabu utaondoka.
 
Nenda kapime akili zako wewe kama Israel atagusa nchi za kiarabu hio Gaza mavi yanamtoka. Tatizo nchi za kiarabu kuna mapuppets na Iran kisha jua wazi kushinda vita ni kushambulia Israel, Saud Arabia, UAE na Qatar afu inatokea vurugu wale wafalme watapinduliwa tu. We huoni Saud Arabia kakimbilia Iran kuomba wasipige Saud Arabia

We huoni Saud Arabia anaogopa hata kumgusa Yemen wale Al Houth.

Israel yuko njiani kuondoka hapo Middle East si kama mnavyo fikiria.

US kisha failed kule Yemen hio kupiga Raia na kupiga matank ya mafuta haiwezi mpa ushindi.

US ana ona aibu kusema kashindwa Yemen kamsingizia kwanza Iran na juzi janza msingizia China kesho tutasikia Russia eti wanawasaidia Al Houth 🤣

Us badala ya kuwazuia Al Houth wasizuie meli kwenda Israel kasababisha mpaa meli zake hazipiti Red Sea. Dalili wazi hakuna alicho fanikiwa Yemen zaidi ya kurusha mabomu huku na kule kuwauwa wananchi wasio husika, kuwauwa mbuzi na kondoo, kupiga matank ya mafuta ni ujinga mtupu.
 
Iran Hana ubavu wa kushambulia Saud Arabia, UAE na Qatar. Iran yeye ana deal na Israel tu (kama mwakilishi wa mataifa ya magharibi), Israel tayari ashagusa nchi nyingi za kiarabu Kwa maana ya ushawishi wake umepenya Hadi kufanya waarabu hawapatani.

Kumuondoa Israel middle east kivipi?, wakati Israel na Marekani furaha na lengo lao ni kuifanya middle east ikose utulivu na hili wamefanikiwa sana, suala si kuua watu pekee bali ni kutengeneza mazingira ya migogoro isiyoisha kitu ambacho hakuna ushindi Kwa waarabu, hili linawapa Israel na marekani sababu za kuendelea kuwepo middle east, kama waarabu wakitaka kushinda basi umoja wao ndio silaha Yao na kitu walichofanikiwa Israel ni kubomoa mshikamano wa waarabu, Kwa Hali ilivyo Israel ataendelea kutanua sana middle east.
 
mkuu wayahudi wakisema afrika mashariki ni sehemu ya israeli utawakulia au utakataa
Kwa hoja ipi ?

Pale walipo ni kwao kuanzia ushahidi wa kimaandiko, kiakolojia na kihistoria

Wapalestina ni wavamizi
 
Iran Hana ubavu wa kushambulia Saud Arabia, UAE na Qatar. Iran yeye ana deal na Israel tu (kama mwakilishi wa mataifa ya magharibi), Israel tayari ashagusa nchi nyingi za kiarabu Kwa maana ya ushawishi wake umepenya Hadi kufanya waarabu hawapatani.

Kumuondoa Israel middle east kivipi?, wakati Israel na Marekani furaha na lengo lao ni kuifanya middle east ikose utulivu na hili wamefanikiwa sana, suala si kuua watu pekee bali ni kutengeneza mazingira ya migogoro isiyoisha kitu ambacho hakuna ushindi Kwa waarabu, hili linawapa Israel na marekani sababu za kuendelea kuwepo middle east, kama waarabu wakitaka kushinda basi umoja wao ndio silaha Yao na kitu walichofanikiwa Israel ni kubomoa mshikamano wa waarabu, Kwa Hali ilivyo Israel ataendelea kutanua sana middle east.
Sawa we kalia hana ubavu jifurahishe tu, hata mlisema Iran hana ubavu wa kuipiga Israel alicharazwa kama mtoto.

We huwezi kujua Middle East kuliko mimi we lazima uelewa East Saud Arabia wote ni Mashia Iran akiamua kukianzisha kule itakuwa ni balaa sana kwa Saud Arabia.

Qatar nusu yake ni Wa Iran, UAE ndio vile vile

We endelea kuota ndoto kama Israel atabaki hapo Middle East.
 
Ulichokosea kusema Iran awezi kumshambulia uyo Saudia mbona kapigwa sana tu na Visima Vimepigwa. !!!

Saudia pamoja na Marekani moja kwa moja wakadai ni IRAN !!!

Marekani alipeleka adi mabaki ya kombora UN kuishtaki Iran !!!

Iran ilikana kuusika !!!

japo nakusifu umechambua kipwent sio kimahaba Kila kitu upo sawa Israel anatumia mbinu zaid za kijasus na migogolo kupata kuishi iyo seem ata alitaka kuchonganisha Saudia amuone Iran ni Adui mkuu !!!

lkn faam wale Houthi ni Iran tupu pale ndio mana Saudia baada kuona mechi imekuwa ngumu kuusu ao Houthi akatafuta muafaka na Iran na Vile Vita Vikaisha apo Apo!!!!

Ugomvi ukapungua Ikabati kufungua office za kibalozi ndio China akafanikisha kwakuwaeka pamoja

Sababu Iran ndio mwenye Houthi unawaona pale Yemen. Mwenye kauli ya mwisho ni IRAN.
 
Lengo la Israel ni kutanua mipaka yake kadri inavyowezekana, huwa zinatafutwa sababu na kutengeneza mazingira Kila siku Ili Israel aingie vitani, lengo ni ardhi tu. Anayetafutwa ni muajemi, waarabu wenye nguvu tayari washaingia kwenye mfumo wa Israel.

Kila taifa la kiarabu lenye nguvu jua Israel anajua kinachoendelea na pia kuna uwezekano mkubwa anaratibu mambo mengi kwenye hizo nchi kubwa za kiarabu. Lengo la Israel kubwa ni kupata ardhi na mamlaka karibu Bara arabu lote. Option walizonazo Waarabu ni aidha wakubali sehemu ya matakwa ya Israel ama Uingie naye vitani, MBS na wenzake washaonja utamu wa Mali na mamlaka nani akubali kuingia vitani na Israel?, hapana atakayekubali..

Watu wengi hawajui, ni kwamba ni aidha Ukubaliane na Israel au uingie naye vitani mpigane na jua hakuna urafiki wa kudumu wa Israel na waarabu hivyo basi ipo siku isiyo na jina kitanuka arabu yote maana utulivu ulioko baadhi ya nchi kubwa za kiarabu utaondoka.
Hizo ni ngonjera tu hakuna ushahidi wa kudhibitisha uongo huo.. Katika vita zote israel imepigana na waarabu zote imechokozwa na hakuna vita yoyote ambayo israel ilianzisha na hakuna vita iliyochokozwa ilishindwa na hakuna Neno kushindwa Katika msamiati wao.
 
Attachments

  • IMG_1124.jpeg
    IMG_1124.jpeg
    110.1 KB · Views: 19
Israel ataweza on attack tu, defense hataweza bila msaada wa Marekani na wengine.
Iran ataweza attack ila defence hawezi.
Iran ina ukubwa mara 10 zaidi ya Israel
 
Ni dhahiri huna uelewa wowote wa kijeshi. Kwanza si kweli kuwa Israel ana uwezo wa kushambuli na kujilinda hawezi. Kwa taarifa yako tu katika vita zake zote na waarabu majeshi ya israel yaliweza ku Counter-Attack na kujilinda wakati huohuo( Defensive-ability ) tukichukulia vita vya 1967 majeshi ya israel yalishtukizwa na hivyo yaliweza kufanya shambulio la mapema (Preemptive attaks ) mashambulizi yaliyowapa ushindi wa kishindo dhidi ya maadui zao wa kiarabu. 1973 Yom-Kipur war majeshi ya israel yalionyesha umahiri mkubwa kwenye medani na kuwaacha hoi waarabu waliokusudia kuliangamiza Taifa la Israel.
Tukija kwenye vita vya Gaza majeshi ya israel kwa umahiri mkubwa wali węża kupigana kwenye mistari ya mbele Saba ( seven Fronts ) kwa maana ya Hamas,Hezbollah,Houth,west-Bank,Syria na waasi huko Iraq na baba yao Iran!! Majeshi ya Israel yaliweza kukabiliana magaidi hao bila wasi wasi na wote walipigwa kipigo cha mbwa-koko na mpaka sasa hivi israel imevunja record ya kupigana mistari Saba ya mbele ( seven -fronts ) bila kushindwa.
Tukija upande wa Defence israel inao uwezo mkubwa sana wa kujilinda. Kwa mfano baada ya mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na magaidi wa Hamas hapo Oct 07,2023 magaidi hao waliweza kurusha makombola kutokea Syria,Iraq,Hamas,Hezbollah,Houth na Iran lakini mifumo ya ulinzi ya Israel iliweza kuponową makombola yote yaliyolenga miji ya israel ikiwemo Tel Aviv, Oct 01,2024 Iran ilirusha makombola 400 kati ya hayo 200 yalipopolewa na yaliyobaki waliangukiansehemu za wazi hivyo haikuwepo haja ya kuyapopoa. Kwa hiyo ndugu usilibeze jeshi la israel.
 
View: https://youtu.be/PxiDRvEIPGs?si=QgXuEGiML8II7F3F

Trump anambembeleza mfalme wa Oman yuko tayari kusimamisha vita Al Houth wawachie meli za US zipite

Sa mwanzo zilikuwa zinapita akajidai mwamba, alitaka Al Houth awachie meli zote alikusudia meli zinazo enda Israel.

Sa Trump ka Surrender wachana na meli zinazo enda Israel niwachie za US 😄
 
Ni dhahiri huna uelewa wowote wa kijeshi. Kwanza si kweli kuwa Israel ana uwezo wa kushambuli na kujilinda hawezi. Kwa taarifa yako tu katika vita zake zote na waarabu majeshi ya israel yaliweza ku Counter-Attack na kujilinda wakati huohuo( Defensive-ability ) tukichukulia vita vya 1967 majeshi ya israel yalishtukizwa na hivyo yaliweza kufanya shambulio la mapema (Preemptive attaks ) mashambulizi yaliyowapa ushindi wa kishindo dhidi ya maadui zao wa kiarabu. 1973 Yom-Kipur war majeshi ya israel yalionyesha umahiri mkubwa kwenye medani na kuwaacha hoi waarabu waliokusudia kuliangamiza Taifa la Israel.
Tukija kwenye vita vya Gaza majeshi ya israel kwa umahiri mkubwa wali węża kupigana kwenye mistari ya mbele Saba ( seven Fronts ) kwa maana ya Hamas,Hezbollah,Houth,west-Bank,Syria na waasi huko Iraq na baba yao Iran!! Majeshi ya Israel yaliweza kukabiliana magaidi hao bila wasi wasi na wote walipigwa kipigo cha mbwa-koko na mpaka sasa hivi israel imevunja record ya kupigana mistari Saba ya mbele ( seven -fronts ) bila kushindwa.
Tukija upande wa Defence israel inao uwezo mkubwa sana wa kujilinda. Kwa mfano baada ya mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na magaidi wa Hamas hapo Oct 07,2023 magaidi hao waliweza kurusha makombola kutokea Syria,Iraq,Hamas,Hezbollah,Houth na Iran lakini mifumo ya ulinzi ya Israel iliweza kuponową makombola yote yaliyolenga miji ya israel ikiwemo Tel Aviv, Oct 01,2024 Iran ilirusha makombola 400 kati ya hayo 200 yalipopolewa na yaliyobaki waliangukiansehemu za wazi hivyo haikuwepo haja ya kuyapopoa. Kwa hiyo ndugu usilibeze jeshi la israel.
Umemremba Sana Israel. Mwaka 1973 alipigwa ambush moja nzito asiyo tarajia. Marekani ndiye alikuja kuokoa jahazi.
 
Hapo shida sio Israel bali ni USA aliyetengeneza Taifa hilo,lengo lake nini hasaa??????
Mataifa ya kiarabu yenye nguvu ambayo yanaweza kupinga huo uonevu,ni Turkey,Saudi,Irani,Iraq na Misri.USA wale wote ambao aliona ni threat aliamua kuunda nao urafiki wa kinafiki na kuwagombanisha wengine,aliqnza targets zake za urafiki na Iraqul,Misri,Turkey na Saudia akishindwa kwa Irani na Libya.

Akaanza na rafiki yake Iraq baada ya Iraq kuanzaa kutengua urafiki,akaja akampa za USO,akarudi kule Misri alipoingia Mohamed Mossi kutoka chama cha Muslims brotherhood change misiamo mikali alikuwa hakubaliani na anachokifanya USA wakamuondoa madarakani Mossi wakamfunga mpaka akafia magereza wakapandikiza kibaraka -wakarudi wakaumuondoa Gadafi Libya Wakamgombanisha SAUDIA,Turkey na Iran.

Wamemuweka Turkey na Saudia,Misri mfukoni,hapo anae wapa ugumu ni Irani.Kama ilivyo adui wa mtu mweusi ni mweusi mwenzake hivyo hivyo kwa waarabu.

IRANI endelea kutetea masirahi ya waisalam wenzenu wa palesitina na Lebanon kuliko hao wao majinga ya Maka-Saudia,Misri & Turkey yanayoramba muguu ya USA huku wakiacha ndugu zao wananyanyaswa na wazungu wa Israel na mshirika wake USA.

Mwarabu na mwafrika ni kama kopo na funiko
 
Israel haina mpango wa Kutanua Ardhi yake kumeza wananchi wa Syria na Jordan, ila inachotaka ni kitu kinaitwa Sphere of influence.

Sababu inayofanya Hakuna one state solution ni Identity ya Wayahudi itapotea sababu watakuwa wachache na Vyama vya Waarabu vitatoa viongozi, imagine Sinwar ni Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano ya Israel na Palestinian.

Israel strategy yao ni kuwafukuza Watu wa Hilo eneo then kulikuchukua, that won't be possible wakifika Damascus
 
Nenda kapime akili zako wewe kama Israel atagusa nchi za kiarabu hio Gaza mavi yanamtoka. Tatizo nchi za kiarabu kuna mapuppets na Iran kisha jua wazi kushinda vita ni kushambulia Israel, Saud Arabia, UAE na Qatar afu inatokea vurugu wale wafalme watapinduliwa tu. We huoni Saud Arabia kakimbilia Iran kuomba wasipige Saud Arabia

We huoni Saud Arabia anaogopa hata kumgusa Yemen wale Al Houth.

Israel yuko njiani kuondoka hapo Middle East si kama mnavyo fikiria.

US kisha failed kule Yemen hio kupiga Raia na kupiga matank ya mafuta haiwezi mpa ushindi.

US ana ona aibu kusema kashindwa Yemen kamsingizia kwanza Iran na juzi janza msingizia China kesho tutasikia Russia eti wanawasaidia Al Houth 🤣

Us badala ya kuwazuia Al Houth wasizuie meli kwenda Israel kasababisha mpaa meli zake hazipiti Red Sea. Dalili wazi hakuna alicho fanikiwa Yemen zaidi ya kurusha mabomu huku na kule kuwauwa wananchi wasio husika, kuwauwa mbuzi na kondoo, kupiga matank ya mafuta ni ujinga mtupu.

Unaijua history ya Wana Wana wa Israel kukaa Miaka 40 jangwani.

SIo kwamba walipotea njia la hasha, Practically walitumuia Miaka 40 jangwani kuaandaa Jeshi kukusanya Intelejensia, pia walitumia huu muda kuwafanya wenyeji wa Kaanani wasihofu Kundi kubwa la Watu Jangwani kama ni Hatari kwao.

Hili Ndio lilitokea kwa Waarabu wa hapo Mashariki ya Kati, Wayahudi walienda kununua Ardhi, Waarabu hawakujua kabisa plan ya Wazayuni na hii plan ilianza kama Miaka 100+ kabla ya 1948.

Waarabu wakauza Ardhi yao kwa Hiari, then Wazayuni wakaanza kudhamini Wayahudi pote Duniani kuhamia kwenye nchi yao ya ahadi, Ndio baada ya muda population ikabalance wakaanza kugawana nchi at the same time Wayahudi wakawa wameunda Jeshi kwa siri na lenye nguvu sana.

Siku Waarabu walivojaribu kupigana wakakutana na Surprise kubwa.

Now Wayahudi wanajenga makazi Samaria na Judea baada ya Miaka 30 - 40 Wayahudi watakuwa sawa na Wapalestina, na Wapalestina wataanza Kuchukua Uraia wa Israel and finally kutakuwa hakuna Palestina, now Huko Gaza walishahama Watu laki 2
 
Hapo shida sio Israel bali ni USA aliyetengeneza Taifa hilo,lengo lake nini hasaa??????
Mataifa ya kiarabu yenye nguvu ambayo yanaweza kupinga huo uonevu,ni Turkey,Saudi,Irani,Iraq na Misri.USA wale wote ambao aliona ni threat aliamua kuunda nao urafiki wa kinafiki na kuwagombanisha wengine,aliqnza targets zake za urafiki na Iraqul,Misri,Turkey na Saudia akishindwa kwa Irani na Libya.

Akaanza na rafiki yake Iraq baada ya Iraq kuanzaa kutengua urafiki,akaja akampa za USO,akarudi kule Misri alipoingia Mohamed Mossi kutoka chama cha Muslims brotherhood change misiamo mikali alikuwa hakubaliani na anachokifanya USA wakamuondoa madarakani Mossi wakamfunga mpaka akafia magereza wakapandikiza kibaraka -wakarudi wakaumuondoa Gadafi Libya Wakamgombanisha SAUDIA,Turkey na Iran.

Wamemuweka Turkey na Saudia,Misri mfukoni,hapo anae wapa ugumu ni Irani.Kama ilivyo adui wa mtu mweusi ni mweusi mwenzake hivyo hivyo kwa waarabu.

IRANI endelea kutetea masirahi ya waisalam wenzenu wa palesitina na Lebanon kuliko hao wao majinga ya Maka-Saudia,Misri & Turkey yanayoramba muguu ya USA huku wakiacha ndugu zao wananyanyaswa na wazungu wa Israel na mshirika wake USA.

Mwarabu na mwafrika ni kama kopo na funiko
UMetembea mule mule. Ndivyo ilivyo
 
Sawa we kalia hana ubavu jifurahishe tu, hata mlisema Iran hana ubavu wa kuipiga Israel alicharazwa kama mtoto.

We huwezi kujua Middle East kuliko mimi we lazima uelewa East Saud Arabia wote ni Mashia Iran akiamua kukianzisha kule itakuwa ni balaa sana kwa Saud Arabia.

Qatar nusu yake ni Wa Iran, UAE ndio vile vile

We endelea kuota ndoto kama Israel atabaki hapo Middle East.
Basi kumbe wewe unatoa hoja Kwa mapenzi, wewe utakufa utaiacha Israel Bado Iko middle east kwasababu huangalia jinsi matukio ya Sasa yanavyoathiri moja Kwa moja mchakato wa waarabu kuiangusha Israel.

Wapo wenzako kama wewe ambao washakufa toka 1950 walisema wataifuta Israel muda si mrefu lakini Hadi Leo ipo, unajua kwanini?, ni kwasababu ya unafiki wa mataifa ya middle east.
 
Back
Top Bottom