Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,160
May HE/SHE R.I.P.Source: Dar leo
afisa uhusiano wa Hospitali ya Muhimbili amethibitisha habari hizo kuwa Anti Aluu,amefariki dunia leo saa 1 na dk 05 asubuhi.
Mungu amhukumu kulingana na matendo yake ya mwisho. RIP Abdalah aka Victoria or Aluu
Kwa ufupi tu huyu jamaa ni mchanganyiko wa damu ya kigeni na uchaga, kwa jina anaitwa Abdalah, alikuwa Baharia. aliachiwa nyumba ya urithi na wazazi wake kisha akaiuza na kutimkia CHINA alikoenda kubadili jinsi kisha akaliendekeza libeneke. Soko lilipoisha Uchina akarejea hapa Bongo. Inaelekea walimbaka na kumfanyia kitu mbaya. Hali yake ilikuwa ni mbaya sana kiasi kwamba asingeweza kupona.
Inawezekana katika dakika zake za mwisho amemrudia muumba wake.... hatuwezi kutoa hukumu. RIP
Mkuu Bill with all due respect.Naomba tumtendee haki kwa kutoa taarifa sahihi kumhusu marehemu, pamoja na mapungufu yote aliyokuwa nayo.Just to put the record straight ni hivi:
1.Hakuwahi kuuza nyumba ya urithi.Nyumba aliyouza ni yake na alijenga mwenyewe.. akiwa mmoja wa wakazi wa mwanzo kujenga Mbezi Beach.
2. Hakuwahi kuwa Baharia maishani mwake bali mfanyakazi wa ndege ( Steward) ATC.
3. Hakubakwa bali alijisumu ( commit suicide thru self -poisoning)
Samahani lakini ndiyo ukweli.

Ni fundisho kwa wanaoiendea njia yake!!!!
...... pamoja na mapungufu yote aliyokuwa nayo.....
Mapungufu kwa mtu X inawezekana kuwa siyo mafungufu kwa mtu Y. RIP Aunt
Siku za mwisho za uovu wa wanadamu tutayaona mengi ya ajabu!!!! Within a week madume jike mawili tiiiiiiiiiii chini, na wote vyanzo ni ufukweni mwa bahari!!! Huko Mbezi beach jamani wazazi na watoto wenu, fungueni macho!!!! Kuna mengi ya haya yatakuwa yanafanyika!!! Naomba Kova apeleke askari wawe wanafanya doria 24/7 vinginevyo kizazi chetu kinaishia huko maana nafikiri ni cheap hakuna gharama ya chumba, but is is too expensive to their lives!!!
kijana nani kakuomba namba ya mabwabwa? hebu itoe haraka....Mwingine huyu piga namba hii Bado yuko Mbezi Beach![*******] ni dume lakini sauti ya kike kabsa.
kijana nani kakuomba namba ya mabwabwa? hebu itoe haraka....